Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi mbavu zinaumaa.Uko sahihi kabisa. Kuna kale katabia ka kuoneana aibu kwa sababu tu ya kufanana mlengo. Na kama ndiyo unafiki wenyewe, basi nakiri na mimi kumbe ni mnafiki kwa kiasi chake.
Lakini kiukweli tujitahidi tu kutaniana kwa kipimo. Hata wale mashabiki wenzangu wa Yanga pia wabadilike. Hii mambo ya kutukanana matusi ya nguoni, kuwatukana wazazi wetu! Nadhani siyo poa hata kidogo.
Huwa napenda tuishie tu kwenye utopolo, umbumbumbu, umakolo, nk.
Na nyie mle hizo hamsa hamsa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila madawa simba hawashindi
Walikula hamsa hamsa
Kule cairo 5 - 0Na nyie mle hizo hamsa hamsa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnakwama wapiiii????
Hawa nyani ni wepesi kutukana lakini wakijibiwa sawa sawa na upumbavu wao wanapiga mayowe. Angalia hata wanavyomtetea zeruzeru wao licha ya yeye mwenyewe kukiri kosa bado wanashupaza shingo kusema ameonewa.Unamruka Yanga mwenzio kujibu uharo unakuja kunishauri mimi wakati yeye ndo kaanzisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa avic room ipi? Nikuletee maji utulize kiu yako.Kule cairo 5 - 0
Kule congo 5- 0
Hamsa hamsa
Au hapa ulikuwa kwenu shamba unaishi chumba kimoja na mifugo?Kule cairo 5 - 0
Kule congo 5- 0
Hamsa hamsa
Paendenaje hapo ghetto kwa mugalu kwenye vyumba vya mabweni ya shule?😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa avic room ipi? Nikuletee maji utulize kiu yako.
Byuti byuti.
Uzuri mpaka highlights za magoli mliyobugizwa tunazo zote khamsa khamsa..Au hapa ulikuwa kwenu shamba unaishi chumba kimoja na mifugo?View attachment 2299878View attachment 2299879
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wako kwenye Football ya Africa iliko. Mnapambana na vibaka uchwaraa huko kigamboniiiiii.Paendenaje hapo ghetto kwa mugalu kwenye vyumba vya mabweni ya shule?[emoji23][emoji23][emoji23]
Na hivii au basiii [emoji23][emoji119][emoji119]
Sasa unabisha hamkupigwa na waarabu? Umekuja mjini juzi waulize watopolo wenzako waliokutangulia watakusimulia bwege weweUzuri mpaka highlights za magoli mliyobugizwa tunazo zote khamsa khamsa..
Haya wewe weka hizo kama zipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Bambukicha mna tabu.
Haya saea tumekuja mjini juziSasa unabisha hamkupigwa na waarabu? Umekuja mjini juzi waulize watopolo wenzako waliokutangulia watakusimulia bwege wewe
Kwahiyo soka la Afrika ndio kukaa hosteli za wanafunzi kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wako kwenye Football ya Africa iliko. Mnapambana na vibaka uchwaraa huko kigamboniiiiii.
Woiiiiiiiiiih. Yakizidi muone daktareeeeeeh.
Byuti. Byuti.
Weuweeeeeeeeeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km hakuna pesa kwako, lawama ndo upeleke kwa wengineee??? Da Aziza kachuna pochi yoteee.Kwahiyo soka la Afrika ndio kukaa hosteli za wanafunzi kweli?
Mabingwa wote wapo kambi nchini kwao ila tu bambukicha ndio viguu na njia
Ila kuna mashabiki oya oya mna tabu [emoji23][emoji23]
Si tulikubaliana hakuna pesa ya kumleta?😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km hakuna pesa kwako, lawama ndo upeleke kwa wengineee??? Da Aziza kachuna pochi yoteee.
Na magodoro fake hayauziki, woiiiiiiiiiiiiiih
Weraaaaaaaaaah byuti byuti.
Sina muda mchafu wa kuhangaika na mshamba kama wewe kama hujui kutumia hiyo smartphone yako shauri yakoHaya saea tumekuja mjini juzi
Tupe clip hizo tuzione wengine [emoji23]
Bambukicha mna tabu
umempa za chembe,,,,dadadeki.Au hapa ulikuwa kwenu shamba unaishi chumba kimoja na mifugo?View attachment 2299878View attachment 2299879
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maumivuu badoooo yako pale pale. Habari kuu na Duniani kwa sasa. DJ waleteeeeeeeeh.Si tulikubaliana hakuna pesa ya kumleta?[emoji23][emoji23]
Mlianza na kibu vs mayele
Mpole vs mayele
Sopu vs mayele.
Kiufupi ni three suitors one husband na hii ya sasa ya wziz imekuwa ya nne
Bambukicha mnachekesha sana wasalimie huko bweni.
Wajanja wamebuni vitu vikubwa kama melo alivyotuletea jfSina muda mchafu wa kuhangaika na mshamba kama wewe kama hujui kutumia hiyo smartphone yako shauri yako