Mbigirikavu
Senior Member
- Aug 19, 2022
- 101
- 118
Ni kweli, Yanga hawana cha kupoteza. Watolewe, wasitolewe, wao kwao ni sawa tu maana level hiyo sio yao ๐๐๐Kwenye izi mechi Simba Wana mchecheto kuliko Yanga, ukitaka kujua Simba Wana mchecheto, wamesha sahau Leo Wana mechi na Singida[emoji1][emoji1][emoji1]
dunia ilishashangaa kuona mna mwiko nyuma labda muongeze na muhogo mtuonyeshe mnavoweza kupokea vitu viwiliTutaishangaza dunia leo.
Tulia mkuu sisi ndo wazee wa hizi kazi tunampiga mwarabu goli 3 kama katuibia mke wetu.dunia ilishashangaa kuona mna mwiko nyuma labda muongeze na muhogo mtuonyeshe mnavoweza kupokea vitu viwili
๐ฎHakuna anayependa kufa lakini kuna baadhi ya wagonjwa wanafikia kusema "Heri nife kuliko mateso haya", ndivyo ilivyo kwa wanayanga.
Wako tayari kwa matokeo yoyote ilimradi ichezwe, ipite, wawaze mengine, kutokana na fukuto la kuingia makundi kuanzia CAF Champions mpaka Shirikisho. Yanaga wanateseka kila uchao, hawana raha na maisha.
Presha mfululizo, maneno kuntu kutoka kwa wana Simba, hawalali, hapakaliki, damu haizunguki vizuri, pua zinabana, uchovu mwingi, jasho, miili inafukuta, vinyweleo vinachomachoma.
Imefika wakati wanaona bora liende wafunge au wafungwe, yote sawa tu.
Mkuu vipi?[emoji706]
Sana sanaAisee tunasimangwa sana wananchi.