Mechi ipite wana Yanga wapumue

Mechi ipite wana Yanga wapumue

Mbigirikavu

Senior Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
101
Reaction score
118
Hakuna anayependa kufa lakini kuna baadhi ya wagonjwa wanafikia kusema "Heri nife kuliko mateso haya", ndivyo ilivyo kwa wanayanga.

Wako tayari kwa matokeo yoyote ilimradi ichezwe, ipite, wawaze mengine, kutokana na fukuto la kuingia makundi kuanzia CAF Champions mpaka Shirikisho. Yanaga wanateseka kila uchao, hawana raha na maisha.

Presha mfululizo, maneno kuntu kutoka kwa wana Simba, hawalali, hapakaliki, damu haizunguki vizuri, pua zinabana, uchovu mwingi, jasho, miili inafukuta, vinyweleo vinachomachoma.

Imefika wakati wanaona bora liende wafunge au wafungwe, yote sawa tu.
 
Kwenye izi mechi Simba Wana mchecheto kuliko Yanga, ukitaka kujua Simba Wana mchecheto, wamesha sahau Leo Wana mechi na Singida[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hahaaa simba ndio wanaoteseka zaidi kuliko yangaaa
 
Leo nmesuka jamvi hapa...nmetafuta option ya over 7.5 niwape CA ila nmekosa ...acha niweke tu 5.5
 
naskia skuhizi wanajiita daima mbele nyuma kuna muhogo
 
dunia ilishashangaa kuona mna mwiko nyuma labda muongeze na muhogo mtuonyeshe mnavoweza kupokea vitu viwili
Tulia mkuu sisi ndo wazee wa hizi kazi tunampiga mwarabu goli 3 kama katuibia mke wetu.
 
Hakuna anayependa kufa lakini kuna baadhi ya wagonjwa wanafikia kusema "Heri nife kuliko mateso haya", ndivyo ilivyo kwa wanayanga.

Wako tayari kwa matokeo yoyote ilimradi ichezwe, ipite, wawaze mengine, kutokana na fukuto la kuingia makundi kuanzia CAF Champions mpaka Shirikisho. Yanaga wanateseka kila uchao, hawana raha na maisha.

Presha mfululizo, maneno kuntu kutoka kwa wana Simba, hawalali, hapakaliki, damu haizunguki vizuri, pua zinabana, uchovu mwingi, jasho, miili inafukuta, vinyweleo vinachomachoma.

Imefika wakati wanaona bora liende wafunge au wafungwe, yote sawa tu.
🚮
 
Aisee tunasimangwa sana wananchi.
Sana sana
14e6cb2a579b491b91fd4b01f09bb4b2.jpeg
 
Back
Top Bottom