Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 326
Ahsante dear, hakika naamini katika utabiri wako.Na iwe hivyo.
Wambie itakua dakika ya 57
Sijawahi kuona ukikosea kwenye utabiri wako, itakuwa poa sana kuwaondoa hawa jamaa kwenye FA Cup. Itasaidia kuharakisha uotaji wa nyasi kwenye kibarua cha LVG. Niko hapa nasubiri kwa hamu kuu.
Yani leo lazima tuwakalishe hawa mashetani wekundu
kujifariji sio mbaya
Hahahaha umenifurahisha sana maana kuna kitu nimekumbuka yani nimecheka balaaa....
Mmmmh! Kitu gani hicho? Nimegee namie nicheke...lol
Mmmmh! Kitu gani hicho? Nimegee namie nicheke...lol
Bila shaka uko poa leo kijana.