Mechi kali leo

Mechi kali leo

Cardinal06

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
963
Reaction score
326
Ni katika mashindano ya FA Cup ambapo Manchester United wanawakaribisha Arsenal FS katika uwanja wao wa Old Trafford.
.
Weka utabiri wako hapaa
 
Ni kama Simba na Yanga. Mshindi keshajulikana. Wenger na vijana wake watabaki kusindikiza tu.
 
Sijawahi kuona ukikosea kwenye utabiri wako, itakuwa poa sana kuwaondoa hawa jamaa kwenye FA Cup. Itasaidia kuharakisha uotaji wa nyasi kwenye kibarua cha LVG. Niko hapa nasubiri kwa hamu kuu.

Yani leo lazima tuwakalishe hawa mashetani wekundu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Oh! My God! Katavi si ungenyamaza tu bana? Dah! I am worried
A%20S-frusty2.gif
A%20S-frusty2.gif


CC: everlenk, Victoire


Arsenal leo tunashinda wala hakuna mjadala kuhusu hilo.

c.c: BAK.
 
Last edited by a moderator:
wakuu kama yupo anayeweza kutupia link ya kuona hii gemu online please!!!
 
Back
Top Bottom