Mechi kati ya watani wa jadi, kocha wa timu hasimu anaposisitiza kuwa refa atatenda haki. Je, huwa wanakaa naye kupanga mchezo uweje?

Duniahadaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
336
Reaction score
677
Mechi hiyo inatazamiwa kuchezwa Oktoba mwaka huu. Ajabu ni kwamba kocha wa mojawapo ya timu mbili hasimu amejitokeza na kuwaambia watazamaji kuwa mchezo utakuwa wa haki tena haki tupu. Maswali yafuatayo yanajitokeza:

  • Amejuaje wakati yeye si referee? Je, huyu kocha ni mpiga ramli?
  • Je, au yeye ndio huwa referee nyuma ya pazia?
  • Kwanini asimwache referee mwenyewe atamke?. Au yeye ndiye humwongoza kuwa mechi hii tenda haki na mechi hii fanya dhuluma?
  • Kwanini ameanza kuwapa tuition ma-kocha wa timu za daraja la tatu na kuwakaririsha kawimbo waseme kuwa mechi ya Oktoba refarii lazima atatenda haki. Yaani kila kocha akitoka sebuleni kwake anaongea na waandishi wa habari kuwa “Oktoba haki tupu”. Hii si kuwahadaa mashabiki?
  • Huu si uthibitisho kwamba kumbe huyo referee wa mechi hayupo huru bali hufanya kwa matakwa ya huyu kocha?
  • TUNATAKA REFEREE WA MECHI AWE HURU.
 
Peleka jukwaa la siasa, mimi nilijua unaongelea Simba vs Yanga kumbe mwenzetu unawaza October tu.
 
Kwahiyo tusemeje, mnajiandaa kulalamika siyo.
Mbona hilo tunalijua, yule muhamasishaji kila anapoongea, neno kama hakuna makando makando, haya si maandalizi tumewazoa hamna jipya.

Tumeziba masikio tunawaza ubingwa wala hatuiwazi yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikia wanashinda kwa kubebwa..ila Msomali najua unapitia anga hizi ..msimu ujao Gharib akiwekeza Yanga alafu ukaleta umama wako utatekwa @4383@ vichakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…