Mechi kumi kali

Mechi kumi kali

Hii game ya france vs italy euro 2000 ndipo niliachaga ushabiki wa timu baada ya goli la trezequett... Wiki nzima sikulala nalikumbuka lile goli.... Toldo why why didnt u jjst puch that ball away.

World cup 1998 nakumbuka game ya spain vs nigeria... Goli la sunday oliseh.... Kitu kitu kakachuna rangi ya post.... Andoni zubizareta hoi hahahah wat a game.

Kwangu ilikuwa furaha tupu, sababu mie nilikuwa mpenzi wa ufaransa!

Sunday oliseh umenikumbusha! Huyu muhuni alikuwa si mchezo, nilikuwa namuelewa, nigeria ile ilikuwa damuni mwangu.
 
Kwangu ilikuwa furaha tupu, sababu mie nilikuwa mpenzi wa ufaransa!

Sunday oliseh umenikumbusha! Huyu muhuni alikuwa si mchezo, nilikuwa namuelewa, nigeria ile ilikuwa damuni mwangu.

Alafu umenikumbusha game nyingine.... Nigeria vs argentina olympics final 1996 nwanko kanu alitisha.
 
Hii game ya france vs italy euro 2000 ndipo niliachaga ushabiki wa timu baada ya goli la trezequett... Wiki nzima sikulala nalikumbuka lile goli.... Toldo why why didnt u jjst puch that ball away.

World cup 1998 nakumbuka game ya spain vs nigeria... Goli la sunday oliseh.... Kitu kitu kakachuna rangi ya post.... Andoni zubizareta hoi hahahah wat a game.
Kwangu Spain Vs Nigeria WC 1998 itabaki kuwa mechi ya kusisimua zaidi. Hongera Sunday Olisey kwa goli zuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Man. City vs Man. United 2 - 3
Hii kwangu ndio the best na ninayoikumbuka muda wote, nilikata tamaa baada ya kipindi cha kwanza nikiamini tayari tumewapa City ubingwa. Mwisho wa siku ilipigwa comeback ya nguvu second half.

2. PSG vs Man. United 1 - 3
"Mountains are there to be climbed" Solskjaer alionyesha ni jinsi gani hupaswi kukata tamaa, tumeona hata walichofanya Liverpool dhidi ya Barcelona.

3. Tanzania vs Uganda AFCONQ
Sikumbuki kama kuna game ya Taifa Stars nilishangilia kama hii, kushuhudia timu ya taifa langu kushiriki michuano mikubwa kama ile ilinipa furaha sana.

4. Kenya vs Tanzania AFCON
Hii iliniumiza sana tulistahili kushinda kwa jitihada wachezaji wetu walizoonesyesha uwanjani.

5. Man. United vs Chelsea 4 - 0
Hii ni special sana kuanza msimu tu na kumla mtu 4 kuliniaminisha mengi huenda msimu huu ni wetu tunabeba kombe kumbe sivyo.

6. Real Madrid vs Liverpool UCL Final
Kitendo cha Salah kuchezewa rafu ile kiliniuma, Liverpool walipambana sana kufika pale. Kiupande wa kishabiki nilifurahi Ronaldo kuongeza UEFA nyingine.

7. Uruguay vs Ghana WC 2010
Daaah kila nikimumbuka ile penalty ya Asamoah Gyan na ile shangilia ya Suarez naona kama waafrika hatuna bahati WC.

8. Man. United vs Arsenal 8 - 2
Hii sitasahau kumpiga mtu 8 EPL sio jambo dogo tena Arsenal.

9. Ajax vs Man. United 0 - 2
Baada ya kimya kirefu kule UCL timu yangu pendwa angalau tukabeba kombe letu la kwanza la UEFA Europa League.

10. Juventus vs Man. United 1 - 2
Daah ile free kick ya Mata sitaisahau tuliuaminisha ulimwengu hata kama sio bora sana ila tunapambana.
Wewe ni shabiki wa manyumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchizi alipiga fabo siku hiyo hatari.... Goli la pili alivyowachukuwa mabeki hatari michel salgado alipigwa zinga la drop a shoulder.. Casillas anabaki sindikiza mpira kwa macho hahahahaha

Yule jamaa wacha tuu alikuwa ananifurahisha jinsi alivyokuwa anafurahia kuucheza mchezo huu wa mpira. Pure genius. Vile vionjo ambavyo wachezaji wanafanyaga ma, oezini yeye alikuwa anavifanya in the biggest stage of all.
Kuna watu walizaliwa ili wapenzi wa soka tuburudike,,

M/Mungu kuna kitu aliweka ndani ya Gaucho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu umenikumbusha game nyingine.... Nigeria vs argentina olympics final 1996 nwanko kanu alitisha.

Nusu fainali vs brazil kanu anawapiga wabrazil goli 2
Fainal vs argentina amunike anawamaliza argentina akitokea benchi.

Nigeria kizazi kile itapita miaka mingi kukipata.
 
Uruguay vs Ghana, WC south Africa
Simba vs AS vita, chama goal
Liverpool vs AC milan, UEFA champion final
Germany vs Brazil, 7goals
ManU vs Chelsea,UEFAchampion final
France vs Italy, WC final Zidane vs Materazi
ManCity vs QPR, dk93&sec45 Aguerro goal
Tanzania vs Uganda, qualifyAFCON match
Man U vs Arsenal, 8-2 results
Simba vs Yanga, 5goals of Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
Uruguay na Ghana daah! For the first time chozi lilinitoka kisa mpira.

Asamoah Gyan yule kaka nilimpenda 😀
 
Hii game ya france vs italy euro 2000 ndipo niliachaga ushabiki wa timu baada ya goli la trezequett... Wiki nzima sikulala nalikumbuka lile goli.... Toldo why why didnt u jjst puch that ball away.

World cup 1998 nakumbuka game ya spain vs nigeria... Goli la sunday oliseh.... Kitu kitu kakachuna rangi ya post.... Andoni zubizareta hoi hahahah wat a game.
hahaha umenikumbusha kitambo aisee,ile bunduki toldo asingeidaka kwanza ilikuwa inakuja huku inacurve,alafu Tena walenda extra time bila kutaraji walijua game wamemaliza,ila mchawi wiltord akasawazisha dk za lala salama
 
Bercelona na Man United.. UEFA final 2011
Spain na Nertherland world Cup S. Africa 2010..

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app

hi mechi ya kibabu fergie anatetemeka baada ya pep kumfundisha soka hahahaha
goli la tatu its david villaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ile barcelona ilikuwa kiboko
 
hi mechi ya kibabu fergie anatetemeka baada ya pep kumfundisha soka hahahaha
goli la tatu its david villaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ile barcelona ilikuwa kiboko
Nakumbuka hadi Barca dakika za mwisho wanasubiria mechi kuisha wakaanza kuchana nyavu..

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom