Mechi kumi kali

Kwangu ilikuwa furaha tupu, sababu mie nilikuwa mpenzi wa ufaransa!

Sunday oliseh umenikumbusha! Huyu muhuni alikuwa si mchezo, nilikuwa namuelewa, nigeria ile ilikuwa damuni mwangu.
 
Kwangu ilikuwa furaha tupu, sababu mie nilikuwa mpenzi wa ufaransa!

Sunday oliseh umenikumbusha! Huyu muhuni alikuwa si mchezo, nilikuwa namuelewa, nigeria ile ilikuwa damuni mwangu.

Alafu umenikumbusha game nyingine.... Nigeria vs argentina olympics final 1996 nwanko kanu alitisha.
 
Kwangu Spain Vs Nigeria WC 1998 itabaki kuwa mechi ya kusisimua zaidi. Hongera Sunday Olisey kwa goli zuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni shabiki wa manyumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu walizaliwa ili wapenzi wa soka tuburudike,,

M/Mungu kuna kitu aliweka ndani ya Gaucho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu umenikumbusha game nyingine.... Nigeria vs argentina olympics final 1996 nwanko kanu alitisha.

Nusu fainali vs brazil kanu anawapiga wabrazil goli 2
Fainal vs argentina amunike anawamaliza argentina akitokea benchi.

Nigeria kizazi kile itapita miaka mingi kukipata.
 
Uruguay na Ghana daah! For the first time chozi lilinitoka kisa mpira.

Asamoah Gyan yule kaka nilimpenda πŸ˜€
 
hahaha umenikumbusha kitambo aisee,ile bunduki toldo asingeidaka kwanza ilikuwa inakuja huku inacurve,alafu Tena walenda extra time bila kutaraji walijua game wamemaliza,ila mchawi wiltord akasawazisha dk za lala salama
 
Bercelona na Man United.. UEFA final 2011
Spain na Nertherland world Cup S. Africa 2010..

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app

hi mechi ya kibabu fergie anatetemeka baada ya pep kumfundisha soka hahahaha
goli la tatu its david villaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ile barcelona ilikuwa kiboko
 
hi mechi ya kibabu fergie anatetemeka baada ya pep kumfundisha soka hahahaha
goli la tatu its david villaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ile barcelona ilikuwa kiboko
Nakumbuka hadi Barca dakika za mwisho wanasubiria mechi kuisha wakaanza kuchana nyavu..

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…