Mechi kumi kali


umejaza mechi mbovu halafu unasifiwa duh!
 

dogo umezaliwa mwaka gani?
 
Germany vs Italy 0 - 2 world cup 2006
Ac Milan vs Ajay 3 - 2 UEFA champion league 2002-2003
Turkey vs Senegal 1 - 0 World cup 2002
Uruguay vs Ghana 0 - 0 World Cup 2010
Ac Milan vs Barcelona 1 - 0 Uefa Champion League 2004-2005
Manchester United vs Real Madrid 2 -3 UEFA Champion League 1999-2000
Juventus vs Inter Milan 1 - 0 Italian Serie A 1997 - 1998
Buyern Munich vs Valencia 1 - 1 UEFA Champion League 2000-2001
Netherlands vs Russia 1-3 Euro 208
Czech Republic vs Netherlands 3-1 Euro 2004
 
Mimi zangu ni hizi
  1. UCL Final 2005: Liverpool vs AC Milan 3 - 3
  2. FA Semi Final 1999: Arsenal vs Man United 1 - 2: Ryan Giggs anafunga goli la 2.
  3. UEFA Semi Final 1999: Juventus vs Man United, 2 - 3.
  4. Euro 2000 Finals: France vs Italy 2 - 1: Trezeguet anafunga goli extra time, infact game ya France vs Spain, vs Portugal kwenye hayo mashindano ni za kukumbukwa.
  5. UEFA Group stage: Inter Milan vs Arsenal 1 - 5, Thierry anapiga hatrick ugenini.
  6. Uefa 2004 Last 8: Deportive La Coruna vs AC Milan 4 - 0, baada ya Deportive kupindua meza, nilijua kombe ni lao maana wakongwe wote hawakuingia Semi, akaja kukalishwa na Mourinho tena kwake.
  7. Man United vs Liverpool EPL 2009, 1 - 4. Kila ninapomkumbuka Torres huwa ninaikumbuka hii mechi.
  8. Man City vs QPR EPL 2012, 3 - 2; Aguero anatunyanyua washabiki dakika za nyongeza na kuipa City ubingwa kwa tofauti ya magoli dhidi ya Man United.
  9. El Clasico: Barca 5 - Madrid 0, hii ni game ya 2010 wakati Mourinho amehamia Madrid akitokea Inter Milan.
  10. UEFA 2003: Juventus vs Real Madrid 3 - 1: Kuna mnyama wa kuitwa Pavel Nedved, hapa walikuwa wamemalizana na Barcelona. Final wanakufa kwa AC Milan.
Game ni nyingi wajuba, hasa za UEFA naona hatutamaliza, kuna game kama Liverpool vs Barca ya mwaka jana, Ajax vs Tottenham, Bayer Liverkusen vs Real Madrid mgoli wa Zizzou, game ya Chelsea vs Barca ambayo Ronaldinho anafunga goli la matusi, etc.
 
Victor Ikpeba penati yake ilidundia ndani halafu ikatoka nje. Bahati mbaya jamaa mwenyewe akashika kichwa kwamba amekosa.

Noma sana.

Niliumia mnooo! Enzi hizo VAR wala haifikiriwi.
Game inapigwa vigoma vya kushangilia vya kinaijeria vimetawala, okocha anafanya yake!

Kanu nae alikosa penati nyingine.
 
Niliumia mnooo! Enzi hizo VAR wala haifikiriwi.
Game inapigwa vigoma vya kushangilia vya kinaijeria vimetawala, okocha anafanya yake!

Kanu nae alikosa penati nyingine.

Yes, ila kama nakumbuka vizuri ya Ikpeba ndiyo iliamua matokeo.

Nigeria nilikuwa nawaelewa sana kipindi kile.
 
Real Madrid 2 vs 6 Barcelona 2008/2009 ...

Etoo,Messi na Henry wanamilza shuguli Santiago Bernabeu hii mechi nilishangilia mpaka sauti ikauka.

Barcelona 4 vs 1 Arsenal...Messi alipiga Nne peke yake

Barcelona 0 vs Bayern Munich 7 ...hii mechi niliishi kwa maumivu mwezi mzima na sitakuja kusahau wale wajerumani walitunyanyasa umbwa wale.

Man city 3 vs 2 Qpr ....dakika 93 Aguero anawapa ubingwa wa kwanza.

Chelsea 0 vs Barcelona 1....goal la jioni la iniesta

Liverpool 4 vs Man united 1 mechi ilipigwa OT ...Torres akafanya yake

Liverpool 2 vs 3 Atletico Madrid ...2019/2020

Man united 1 Barcelona 3...Uefa final 2011

Simba 5 - 0 Yanga (utopolo)

Mechi ziko nyingi ila za hafaka ni hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Safi sana...


Cc: mahondaw
 
Nakumbuka nilikuwa chuga kipindi icho Uefa mwaka 2006 finali Ac milan na liverpool aisee hii game sitskuja isahau mpira ulikuwa mkali sana...

121.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…