Mechi kusogezwa mbele ni nafuu kwa simba, vuta picha leo wangeweka rekodi ya kufungwa mara tano mfululizo,

Mechi kusogezwa mbele ni nafuu kwa simba, vuta picha leo wangeweka rekodi ya kufungwa mara tano mfululizo,

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa

Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo.

Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha tu, kwa Yanga hii ni jambo la wazi kabisa simba angekandwa,

Shida ingekuja kwenye rekodi mpya ya kufungwa mara 5 mfululizo,
 
Simba ni timu ya hovyo sana. Imewaingiza watu hasara kwa sababu tu ya kuogopa kichapo.
 
Back
Top Bottom