Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Naamini mechi ya kesho itakuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na Yanga asipokuwa makini, anaweza hata kupoteza hiyo mechi.
Hata hivyo, Yanga akishinda kesho dhidi ya Watunisia, basi atakuwa na uwezo wa kufika hata nusu fainali.
Hilli kiundi linaweza kutoa bingwa kama sio mshindi wa pili na hasa Monastir, na ndio maana nasema Yanga wakiwatoa hawa Waarabu hiyo kesho, basi wanaweza kutinga hata nusu fainali.