Mechi ngumu ni kesho, na Yanga akifuzu, basi hata nusu fainali anaweza kutinga

Mechi ngumu ni kesho, na Yanga akifuzu, basi hata nusu fainali anaweza kutinga

Mechi kuwa ngumu kwenu haimaanishi ni ngumu kwa kila timu. Mechi inakuwa ngumu kwenu kutokana na nyinyi kuwa average. Nyinyi sio timu ya kusema mna timu bora.
Eti average, unakijua unachoongea wewe au ilimradi umeongea, tuambie basi timu bora ni ipi labda
 
Kuini mechi ya kesho itakuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na Yanga asipokuwa makini, anaweza hata kupoteza hiyo mechi.
Hata hivyo, Yanga akishinda kesho dhidi ya Watunisia, basi atakuwa na uwezo wa kufika hata nusu fainali.

Hilli kiundi linaweza kutoa bingwa kama sio mshindi wa pili na hasa Monastir, na ndio maana nasema Yanga wakiwatoa hawa Waarabu hiyo kesho, basi wanaweza kutinga hata nusu fainali.
Kuwatoa Tena!!!.
 
Halafu kitakachouma zaidi ni kwamba kesho yanga anafungwa na Mazembe anashinda then wanakutana Lubumbashi pale ndo watajua hawajui.

Simba huyooo kafuzu,ila Yanga hatafuzu
 
Monastir sio horoya ya kufunga goli 7, yule ni mwarabu anayejitambua, yuko vizuri kiufundi na anajua anachokifanya, yanga waingie kwa adabu kubwa kwakuwa nafasi azitopatikana nyingi, ni mechi ngumu itakayokuwa nzuri sana
Yan ufananishe horoya na monastir kweli ???

Kwani timu ipo ipo kwenye mashindano makubwa ?
 
Halafu kitakachouma zaidi ni kwamba kesho yanga anafungwa na Mazembe anashinda then wanakutana Lubumbashi pale ndo watajua hawajui.

Simba huyooo kafuzu,ila Yanga hatafuzu
Hata kwenye makundi, mlisema hatutaingia, ila tukapindua meza ugenini mkawa wapole.
 
Eti average, unakijua unachoongea wewe au ilimradi umeongea, tuambie basi timu bora ni ipi labda
Kuna nyuzi kibao humu mkiwasifia horoya namna alivyo cheza na Raja na kusema Simba haitatoboa kwa Mkapa dhidi yao lakini sasa hivi mnasema ni wabovu kisa wamefungwa saba. Timu yenu ni average huo ndio ukweli na ndio maana unaona mechi ya kesho ni ngumu sana kutokana na u verage wenu.
 
Kuna nyuzi kibao humu mkiwasifia horoya namna alivyo cheza na Raja na kusema Simba haitatoboa kwa Mkapa dhidi yao lakini sasa hivi mnasema ni wabovu kisa wamefungwa saba. Timu yenu ni average huo ndio ukweli na ndio maana unaona ni ngumu sana kutokana na u verage wenu.
UIsisahaiu wachezaji wake muhimu watatu akiwemo kipa wamekosa hii mechi bila kusahau hata kocha mkuu alikuwa na kadi nyekundu.
 
UIsisahaiu wachezaji wake muhimu watatu akiwemo kipa wamekosa hii mechi bila kusahau hata kocha mkuu alikuwa na kadi nyekundu.
Kwa hiyo unafikiri timu ikikosa wachezaji wake wa3 muhimu inakuwa ni rahisi tu kuifunga hata mkicheza kawaida? Fei toto alikuwa muhimu kwenu lakini mbona mnashinda?
 
Monastir sio horoya kama unavyofikiria kaa kwa kutulia, yanga anakwenda kucheza na timu inayojitambua
Ingekuwa timu kubwa ingeshiriki CAF CHAMPION LEAGUE.....
MTANI KESHO JITAHIDI USHINDE MATCH YAKO NYEPESI SANA HAPO LUPASO.
 
Monastir sio horoya kama unavyofikiria kaa kwa kutulia, yanga anakwenda kucheza na timu inayojitambua
Team inayojitambua kuliko zote zilizowahi kufungwa na Simba Sc kwenye mashindano ya CAFCL & CAFCC ?

Hebu linganisha Monastir na kilabu zilizowahi kufungwa na Simba Sc, uli uuone ujinga wako.
 
Back
Top Bottom