Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Eti average, unakijua unachoongea wewe au ilimradi umeongea, tuambie basi timu bora ni ipi labdaMechi kuwa ngumu kwenu haimaanishi ni ngumu kwa kila timu. Mechi inakuwa ngumu kwenu kutokana na nyinyi kuwa average. Nyinyi sio timu ya kusema mna timu bora.
Kuwatoa Tena!!!.Hata hivyo, Yanga akishinda kesho dhidi ya Watunisia, basi atakuwa na uwezo wa kufika hata nusu fainali.
Hilli kiundi linaweza kutoa bingwa kama sio mshindi wa pili na hasa Monastir, na ndio maana nasema Yanga wakiwatoa hawa Waarabu hiyo kesho, basi wanaweza kutinga hata nusu fainali.
AmenInshallah nao kesho watashinda.
Point alizonazo mwarabu,yanga na mazembe wanaweza zifikiaKesho pia hamna mechi ngumu
Muarabu kashafuzu hvyo hata tumia nguvu nyingi
Yan ufananishe horoya na monastir kweli ???Monastir sio horoya ya kufunga goli 7, yule ni mwarabu anayejitambua, yuko vizuri kiufundi na anajua anachokifanya, yanga waingie kwa adabu kubwa kwakuwa nafasi azitopatikana nyingi, ni mechi ngumu itakayokuwa nzuri sana
Hata kwenye makundi, mlisema hatutaingia, ila tukapindua meza ugenini mkawa wapole.Halafu kitakachouma zaidi ni kwamba kesho yanga anafungwa na Mazembe anashinda then wanakutana Lubumbashi pale ndo watajua hawajui.
Simba huyooo kafuzu,ila Yanga hatafuzu
Kuna nyuzi kibao humu mkiwasifia horoya namna alivyo cheza na Raja na kusema Simba haitatoboa kwa Mkapa dhidi yao lakini sasa hivi mnasema ni wabovu kisa wamefungwa saba. Timu yenu ni average huo ndio ukweli na ndio maana unaona mechi ya kesho ni ngumu sana kutokana na u verage wenu.Eti average, unakijua unachoongea wewe au ilimradi umeongea, tuambie basi timu bora ni ipi labda
UIsisahaiu wachezaji wake muhimu watatu akiwemo kipa wamekosa hii mechi bila kusahau hata kocha mkuu alikuwa na kadi nyekundu.Kuna nyuzi kibao humu mkiwasifia horoya namna alivyo cheza na Raja na kusema Simba haitatoboa kwa Mkapa dhidi yao lakini sasa hivi mnasema ni wabovu kisa wamefungwa saba. Timu yenu ni average huo ndio ukweli na ndio maana unaona ni ngumu sana kutokana na u verage wenu.
Bibie umesahau club african alichokafanywa kwao?Hakika uto ni uto. Unawatoa waarabu kivipi?
Shabiki maandaziBibie umesahau club african alichokafanywa kwao?
Kwa hiyo unafikiri timu ikikosa wachezaji wake wa3 muhimu inakuwa ni rahisi tu kuifunga hata mkicheza kawaida? Fei toto alikuwa muhimu kwenu lakini mbona mnashinda?UIsisahaiu wachezaji wake muhimu watatu akiwemo kipa wamekosa hii mechi bila kusahau hata kocha mkuu alikuwa na kadi nyekundu.
Ingekuwa timu kubwa ingeshiriki CAF CHAMPION LEAGUE.....Monastir sio horoya kama unavyofikiria kaa kwa kutulia, yanga anakwenda kucheza na timu inayojitambua
Team inayojitambua kuliko zote zilizowahi kufungwa na Simba Sc kwenye mashindano ya CAFCL & CAFCC ?Monastir sio horoya kama unavyofikiria kaa kwa kutulia, yanga anakwenda kucheza na timu inayojitambua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utapasuka mwaka huu, sio kuvimbaa tyuuh
Poleeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikuambie kitu bibie huo mpira nimeucheza ligi daraja la tatu kwahiyo naujuaShabiki maandazi