Mechi tano za Yanga zilizopita wakati Djigui Diarra akiwa langoni

Kungekuwa kuwa na mechi tulizofungwa zaidi ya 2 kati ya hizo ningeona Kuna shida.

Ila urgently naona Mechi mbili Kachukulia makombe, Match 1 ilikuwa ya kulimwaga uno(yaan kusherehekea mafanikio).

So haikuwa na umuhimu. Hizo zingine malizia wewe Wenda utajipoza huko chini kunakokuwasha mkuu
 
Diarra anafungwa sana magoli ya vichwa na kona! Kiufupi hana timing nzuri ya kucheza mipira ya aina hii.

Cha kushangaza Abutwalib Mshery anacheza mechi chache, ila ana clean sheet nyingi kuliko golikipa namba 1. Kama vipi ajirekebishe, au mlinda mlango namba 2 apewe nafasi zaidi ya kucheza.
 
Umejibu kitoto sana ,
 
Uko sahihi yule dogo ni bora kuliko Diaara sema tu ni vile hapewi kipaumbele
Diara ni mzuri kuliko Mshery lakini linapokuja suala la kukuza kipaji, Mshery akikaa langoni kwa mechi kadhaa, ni mzuri zaidi kuliko Diara.

Msher ana kipaji haswa.
 
Kuna 8 na 10 hesabu tena
Tatizo unajumlisha kama uko darasani,angalia home and away team. Timu inayoanza kuandikwa ndio iko home
Kuna tofauti kati ya yanga vs azam na azam vs yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…