Mcanada
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 982
- 1,942
Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo ya mechi hiyo yatakuwa ni ushindi kwa Al Hilal na watashinda goli mbili au zaidi (Over 2.00 Goals). Naomba mhifadhi huu uzi tukutane tarehe 17 Oktoba 2022. Wasalaaam!