Mechi ya Al Hilal dhidi ya Yanga tarehe 16.10.2022, Al Hilal atashinda goli mbili au zaidi

Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo ya mechi hiyo yatakuwa ni ushindi kwa Al Hilal na watashinda goli mbili au zaidi (Over 2.00 Goals). Naomba mhifadhi huu uzi tukutane tarehe 17 Oktoba 2022. Wasalaaam!
Yanga anapita,msitishwe na majina Yao Wala kitu chochote Chao....
 
Yanga hapati goli hata moja..(akipata niiteni mbwa)
 
Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo ya mechi hiyo yatakuwa ni ushindi kwa Al Hilal na watashinda goli mbili au zaidi (Over 2.00 Goals). Naomba mhifadhi huu uzi tukutane tarehe 17 Oktoba 2022. Wasalaaam!
Game zote mbili
Ya Yanga na Simba zinauwezekano mkubwa wa kutoa sare... Hasa game ya Simba (kama hakutakuwa na mpira wa kamati ya ufundi)
 
Simba ya Mgunda haiwezi kumtoa Agosto salama.
 
Back
Top Bottom