billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,443
- 1,656
Yanga anapita,msitishwe na majina Yao Wala kitu chochote Chao....Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo ya mechi hiyo yatakuwa ni ushindi kwa Al Hilal na watashinda goli mbili au zaidi (Over 2.00 Goals). Naomba mhifadhi huu uzi tukutane tarehe 17 Oktoba 2022. Wasalaaam!
Aseme mapema.Isipofuzu tukufanye nini
kwa Yanga ilivyo mbovu kimataifa akuna cha kuweka akiba.wanapigwa hata wakipewa bonus wawe16 uwanjani.Tuweke akiba ya maneno ndugu zangu
Labda wageuke mgambo wa Jiji la Dar es Salaam wakapindue meza za mama lishe mitaa ya Jangwani🤣Yanga Anapindua Meza Na Kupinduka Huko Huko
Game zote mbiliBaada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo ya mechi hiyo yatakuwa ni ushindi kwa Al Hilal na watashinda goli mbili au zaidi (Over 2.00 Goals). Naomba mhifadhi huu uzi tukutane tarehe 17 Oktoba 2022. Wasalaaam!
Simba ya Mgunda haiwezi kumtoa Agosto salama.Game zote mbili
Ya Yanga na Simba zinauwezekano mkubwa wa kutoa sare... Hasa game ya Simba (kama hakutakuwa na mpira wa kamati ya ufundi)