Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Elewa maana ya neno mimiMinibus ni bus kama ilivyo miniskirt ni skirt.Coaster zilizotoka kenda Zambia ngapi? Acha uongo.
Neno mimi limetumika kuwakilisha "udogo"
Ukiambiwa minibus maana yake hilo sio bus lingekuwa bus lingeitwa bus usingeona wameita mini bus
Uongo upi sasa, kama hujui kuwa kuna Costa za matawi zilizotoka kwenda Zambia waulize wenzako