Well said watu wanawatafutia huruma ya bure kanuni zimewafunga ndo maana wachezaji walipoumia wawili mechi imeishia hapo na matokea yanabaki kama yalivyoIla kitaalamu inaruhusu kucheza nane uwanjani hivi hakukuwa na shida yeyote wao kuingiza team uwanjani hata kama hawajakamilisha usajili .
Alafu kingine wao ndio wenye makosa maana walichelewa kupeleka majina ya wachezaji waliosajiliwa TFF na badala yake wakaanza mazoezi na wachezaji wengine walio nje ya mfumo mpaka siku ya mechi inaanza wao hawakufuata taratibu zozote
Usajili bado haujafungwa wanayo room ya kusajiliNaomba kuuliza ina maana mechi zote za ligi zilizobaki hii team (kitayose) itakua na wachezaji 8 tu??? Au ni mechi ya leo tu…
Wangeshushwa darajaWasingeingia ground tu azam achukue point za mezani
Mkuu Karia ni rais wa TFF usishangae sana 😀Hata kitayose viongozi wake ni wahuni tupu.Hebu fikiria eti rage naye ni kiongozi
Hiyo ishu TFF wangefanyaje?timu imepigwa ban na FIFA kwasababu walishitakiwa na wachezaji wa awali wa kigeni championship kwa sababu hawakulipwa,kwahiyo usajili wao ukasimamishwa,..sasa TFF ingefanyaje?mechi ikiahirishwa watakuwa na viporo vingapi hadi wamalizane na FIFA?halafu we huoni ratiba itavurugika kwasababu atakuwa na viporo na kila timu kwenye ligi?Tukisema pale TFF hakuna watu wa mpira kuna kikundi tu cha wahuni mnatuona hatuna akili / tunahate sana
Bongo wale jamaa wa Guiness world record hawajapashtukia tu, kuna recoed za kutosha na balaa sana ambazo huwezi pata mahala pengine
Wanawake na mpiraMechi halali kabisa..
Azam wameshinda na point zao kibindoni
Mechi haitarudiwa ndo imeenda
Kitayoce ni bora waombe waondolewe kwny mzunguko tuu...itakua ndo timu ya kubondwa kupunguza maumivu ya kufungwa...
Azam anapewa ushindi wa mezaniNadhani match itafutwa hii.
Kwa maendeleo ya Taifa..Wanawake na mpira
Mechi haifutwi inabaki na matokeo yake kama yalivyoAzam anapewa ushindi wa mezani
Wamepigwa ban kufanya usajili,ina maana wale waliosajiliwa hawatacheza kwanza hadi pale kitayose itakapokamilisha malipo ya wachezaji wao wa zamaniNaomba kuuliza ina maana mechi zote za ligi zilizobaki hii team (kitayose) itakua na wachezaji 8 tu??? Au ni mechi ya leo tu…
Wameisha walipa leo na washafunguliwa ila hawakuwaingiza wachezaji kwenye mfumo wa tffWamepigwa ban kufanya usajili,ina maana wale waliosajiliwa hawatacheza kwanza hadi pale kitayose itakapokamilisha malipo ya wachezaji wao wa zamani
Ila ni wazembe tu,mda wote huo walikuwa wapi,mfumo wa TFF kikomo ndo ile tar 31 July au wamextend hadi mwishoni mwa august?Wameisha walipa leo na washafunguliwa ila hawakuwaingiza wachezaji kwenye mfumo wa tff
Wacha we kumbe ndio wewe 😂Kwa maendeleo ya Taifa..
Mimi ndo yule mwamuzi msiempenda..
Ee ndo mimi... 🤣 🤣Wacha we kumbe ndio wewe 😂
Kwa maana hyo swala lao haliwezi kutatulika kwa Sasa HV au msimu uishe ndio wataachiwaMechi halali kabisa..
Azam wameshinda na point zao kibindoni
Mechi haitarudiwa ndo imeenda
Kitayoce ni bora waombe waondolewe kwny mzunguko tuu...itakua ndo timu ya kubondwa kupunguza maumivu ya kufungwa...
Ni uzembe tu na kufanya vitu kwa mazoea usajili nadhani ni mwezi huu mwishoni ndo unafungwa ule wa july uliofungwa ulikua wa michuano ya CAF interclubs wa ndani badoIla ni wazembe tu,mda wote huo walikuwa wapi,mfumo wa TFF kikomo ndo ile tar 31 July au wamextend hadi mwishoni mwa august?
AHapo na mimi hata sielewi jiraniKwa maana hyo swala lao haliwezi kutatulika kwa Sasa HV au msimu uishe ndio wataachiwa
I did not watch the match...I Didnt watch the ball but it looks like kitalyosce they were not ready for this game