Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Ila kitaalamu inaruhusu kucheza nane uwanjani hivi hakukuwa na shida yeyote wao kuingiza team uwanjani hata kama hawajakamilisha usajili .

Alafu kingine wao ndio wenye makosa maana walichelewa kupeleka majina ya wachezaji waliosajiliwa TFF na badala yake wakaanza mazoezi na wachezaji wengine walio nje ya mfumo mpaka siku ya mechi inaanza wao hawakufuata taratibu zozote
Well said watu wanawatafutia huruma ya bure kanuni zimewafunga ndo maana wachezaji walipoumia wawili mechi imeishia hapo na matokea yanabaki kama yalivyo
 
Tukisema pale TFF hakuna watu wa mpira kuna kikundi tu cha wahuni mnatuona hatuna akili / tunahate sana

Bongo wale jamaa wa Guiness world record hawajapashtukia tu, kuna recoed za kutosha na balaa sana ambazo huwezi pata mahala pengine
Hiyo ishu TFF wangefanyaje?timu imepigwa ban na FIFA kwasababu walishitakiwa na wachezaji wa awali wa kigeni championship kwa sababu hawakulipwa,kwahiyo usajili wao ukasimamishwa,..sasa TFF ingefanyaje?mechi ikiahirishwa watakuwa na viporo vingapi hadi wamalizane na FIFA?halafu we huoni ratiba itavurugika kwasababu atakuwa na viporo na kila timu kwenye ligi?
 
Mechi halali kabisa..
Azam wameshinda na point zao kibindoni
Mechi haitarudiwa ndo imeenda
Kitayoce ni bora waombe waondolewe kwny mzunguko tuu...itakua ndo timu ya kubondwa kupunguza maumivu ya kufungwa...
Wanawake na mpira
 
Tff waliwakumbusha hapo juzi. Tuliona Gor mahia walipewa masaa chini ya 24 walipe pesa au watolewe CAF champions league, wakashindwa na wakapigwa chini. Hakuna kuoneana huruma
Screenshot_20230816-202906_Instagram.jpg
 
Naomba kuuliza ina maana mechi zote za ligi zilizobaki hii team (kitayose) itakua na wachezaji 8 tu??? Au ni mechi ya leo tu…
Wamepigwa ban kufanya usajili,ina maana wale waliosajiliwa hawatacheza kwanza hadi pale kitayose itakapokamilisha malipo ya wachezaji wao wa zamani
 
Wamepigwa ban kufanya usajili,ina maana wale waliosajiliwa hawatacheza kwanza hadi pale kitayose itakapokamilisha malipo ya wachezaji wao wa zamani
Wameisha walipa leo na washafunguliwa ila hawakuwaingiza wachezaji kwenye mfumo wa tff
 
Wameisha walipa leo na washafunguliwa ila hawakuwaingiza wachezaji kwenye mfumo wa tff
Ila ni wazembe tu,mda wote huo walikuwa wapi,mfumo wa TFF kikomo ndo ile tar 31 July au wamextend hadi mwishoni mwa august?
 
Mechi halali kabisa..
Azam wameshinda na point zao kibindoni
Mechi haitarudiwa ndo imeenda
Kitayoce ni bora waombe waondolewe kwny mzunguko tuu...itakua ndo timu ya kubondwa kupunguza maumivu ya kufungwa...
Kwa maana hyo swala lao haliwezi kutatulika kwa Sasa HV au msimu uishe ndio wataachiwa
 
Ila ni wazembe tu,mda wote huo walikuwa wapi,mfumo wa TFF kikomo ndo ile tar 31 July au wamextend hadi mwishoni mwa august?
Ni uzembe tu na kufanya vitu kwa mazoea usajili nadhani ni mwezi huu mwishoni ndo unafungwa ule wa july uliofungwa ulikua wa michuano ya CAF interclubs wa ndani bado
 
Back
Top Bottom