falcon Q
JF-Expert Member
- Feb 28, 2023
- 972
- 2,569
Well said watu wanawatafutia huruma ya bure kanuni zimewafunga ndo maana wachezaji walipoumia wawili mechi imeishia hapo na matokea yanabaki kama yalivyoIla kitaalamu inaruhusu kucheza nane uwanjani hivi hakukuwa na shida yeyote wao kuingiza team uwanjani hata kama hawajakamilisha usajili .
Alafu kingine wao ndio wenye makosa maana walichelewa kupeleka majina ya wachezaji waliosajiliwa TFF na badala yake wakaanza mazoezi na wachezaji wengine walio nje ya mfumo mpaka siku ya mechi inaanza wao hawakufuata taratibu zozote