valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Haijapata kutokea hii.Tff mnaruhusu vp mchezo dizaini hii, hata hauna mvuto
Wanatuharibia tu mpira.Ila hako kambinu ka kuumia kamewasaidia sana kitayse!!
La si hivyo wangepigwa hata hamsini[emoji1787][emoji1787]
Mtanange wapi sasa.vituko tu.Ilikua kama rede.Mkuu mbona hutupi live huo mtanange unavyochezwa, upo chamazi kweli au upo kibanda umiza ?
Basi kiitwe "kisimamo" na siyo kikao.Balimi zinanitesa
Piga vitu mkuuBasi kiitwe "kisimamo" na siyo kikao.Balimi zinanitesa sana muda huu.🤔
nipo chamazi mechi imeisha kitayose wachezaji wawili wameumia kwa hyo hawawezi endelea kuchezaMkuu mbona hutupi live huo mtanange unavyochezwa, upo chamazi kweli au upo kibanda umiza ?
Kuna vigezo hawajakidhiduh, wamepewa kadi nyekundu ama?
AahaaaaaBasi kiitwe "kisimamo" na siyo kikao.Balimi zinanitesa sana muda huu.🤔
The result ..?please
4 _ 0The result ..?please
Duuh4 _ 0
Feitoto 3
Dube 1
Na mechi imevunjwa
Wale wa mikeka tunalipwa au beslips zinakuwa cancelled?4 _ 0
Feitoto 3
Dube 1
Na mechi imevunjwa
Umejua kunichekeshaLeo ndio siku ya dube kujichukulia ufungaji bora[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
What about the ones one the pitch at chamazi..? Or they enter free...?Sasa hapa kibanda umiza watu wanadai hela zao zirudishwe. Hahaha. Mpira burudani sana.