Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Fei toto nae anashangilia bila hata aibu[emoji1787][emoji1787]
Yeye yuko kazini anatimiza wajibu.wanaotakiwa waone aibu ni viongozi wa hiyo timu kufanya mambo kibabaishaji.Walikua wapi siku zote kuweka mambo yao vizuri.
 
imekuwaje mkuu, hao wanne wamekula umeme au imekua vipi?
Timu haijakamilisha taratibu za usajili na kwa hivyo wachezaji walioruhusiwa ni wanane tu.

Kipa kwa sasa ameumia mchezo umesimama.Wamebaki 7 uwanjani na hakuna sub hata mmoja
 
manao angalia tv hebu tuelezeni kiutaalam hapa wanasemaje wachambuzi huko
 
Back
Top Bottom