Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Niko apa home nacheki mechi ya Azam na kitayosci FC ila hili timu inanishangaza sana jinsi wanavyocheza yaani hawapo kabisa kimashindano wanafungwa ila wachezaji wao baadhi nawaona wanacheka

Yaani hadi mda huu dk ya 13 wameshafungwa nne hili team sielewi kabisa
 
kipa kalala chini mchezaji moja nae yupo nje mchezo umesimama
 
Kitayose wamebaki 7 uwanjani na Kuna hati hati ya kubaki 6 maana Captain na Goolkeaper Hali Tete.
 
Mpira wa bongo bado sana ila kuna unazi wa Simba na Yanga ambao unaharibu mpira.
 
Back
Top Bottom