Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Sawa usajili bado haujafungwa lakin kumbuka hawa wana ban kutoka fifa ya kutokusajili mchezaji yeyote…. Io imekaa vp
Hii taarifa imetoka leo
FB_IMG_16922077474708988.jpg
 
Ni uzembe tu na kufanya vitu kwa mazoea usajili nadhani ni mwezi huu mwishoni ndo unafungwa ule wa july uliofungwa ulikua wa michuano ya CAF interclubs wa ndani bado
Mda wanao ingawa watagawa sana points,hawa Kitayose wana bifu na TFF usishangaa usajili kukamilika ikachukua mda huku wakigawa Kwanza points
 
Mda wanao ingawa watagawa sana points,hawa Kitayose wana bifu na TFF usishangaa usajili kukamilika ikachukua mda huku wakigawa Kwanza points
Hahahahaahhaa basi kazi wanayo
 
I did not watch the match...
Kitayosce was not (singular), if they were many teams who were not ready then the word WERE was right to be used.
You cant put Kitayosce and they together in a sentence
Oooh i really understand you my bro and thank you so much for your help
I really like to know well this language so if am wrong and you tell me i realy like it thank you my brother
 
Kwani mkuu,ushawahi kuona Ngao ya jamii ina Nusu fainali na mshindi wa tatu
Kama iliwezekana basi hata haya yanawezekana
Hakuna sheria inayosema ngao ya jamii ichezwe namna gani ni suala la kikanuni tu na kanuni hubadilishwa na hao hao viongozi wa vilabu so maamuzi ya tff peke yao
 
Oooh i really understand you my bro and thank you so much for your help
I really like to know well this language so if am wrong and you tell me i realy like it thank you my brother
There is a thread about English learning in Education Forums, its a pinned Thread go have a look
 
TFF Washikilie hapohapo, timu zijifunze kufanya mambo mapema. Mechi haiwezi kupelekwa mbele kwa uzembe wa timu moja. Walikua na muda mwingi sana kujiandaa lakini wakazembea
Lakini Simba na Yanga zao huwa zinapelekwa mbele mpaka kufikia margin ya mechi tano ,Kwa kisingizio cha kujiandaa na mechi za CAF
Hiyo ndio double standard
 
Back
Top Bottom