falcon Q
JF-Expert Member
- Feb 28, 2023
- 972
- 2,569
Wanayo nafasi ya kusajili bado usajili bado uko wazi ndo maana juzi simba wamesajili kipaAHapo na mimi hata sielewi jirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanayo nafasi ya kusajili bado usajili bado uko wazi ndo maana juzi simba wamesajili kipaAHapo na mimi hata sielewi jirani
Usajili bado haujafungwa wanayo room ya kusajili
Bas ngoja niendelea kuwa Hapa Hadi nipate majibuAHapo na mimi hata sielewi jirani
Hii taarifa imetoka leoSawa usajili bado haujafungwa lakin kumbuka hawa wana ban kutoka fifa ya kutokusajili mchezaji yeyote…. Io imekaa vp
Hiki umeandika nini brother? Kama lugha hii haipandi basi achana nayoI Didnt watch the ball but it looks like kitalyosce they were not ready for this game
Hawakuleta hata wachezaji wa timu ya vijana ?I Didnt watch the ball but it looks like kitalyosce they were not ready for this game
I think they were not ready for this gameHawakuleta hata wachezaji wa timu ya vijana ?
I respect your opinionsHiki umeandika nini brother? Kama lugha hii haipandi basi achana nayo
Mda wanao ingawa watagawa sana points,hawa Kitayose wana bifu na TFF usishangaa usajili kukamilika ikachukua mda huku wakigawa Kwanza pointsNi uzembe tu na kufanya vitu kwa mazoea usajili nadhani ni mwezi huu mwishoni ndo unafungwa ule wa july uliofungwa ulikua wa michuano ya CAF interclubs wa ndani bado
Hahahahaahhaa basi kazi wanayoMda wanao ingawa watagawa sana points,hawa Kitayose wana bifu na TFF usishangaa usajili kukamilika ikachukua mda huku wakigawa Kwanza points
Duh na Mtibwa piaTff waliwakumbusha hapo juzi. Tuliona Gor mahia walipewa masaa chini ya 24 walipe pesa au watolewe CAF champions league, wakashindwa na wakapigwa chini. Hakuna kuoneana huruma View attachment 2719214
Kwani mkuu,ushawahi kuona Ngao ya jamii ina Nusu fainali na mshindi wa tatuHaijapata kutokea hii.
Oooh i really understand you my bro and thank you so much for your helpI did not watch the match...
Kitayosce was not (singular), if they were many teams who were not ready then the word WERE was right to be used.
You cant put Kitayosce and they together in a sentence
Walitaka kiahirisha mechi kijanja au wamepewa hela za kulipa deni lao waje wacheze kutimiza ratibaI think they were not ready for this game
Hakuna sheria inayosema ngao ya jamii ichezwe namna gani ni suala la kikanuni tu na kanuni hubadilishwa na hao hao viongozi wa vilabu so maamuzi ya tff peke yaoKwani mkuu,ushawahi kuona Ngao ya jamii ina Nusu fainali na mshindi wa tatu
Kama iliwezekana basi hata haya yanawezekana
There is a thread about English learning in Education Forums, its a pinned Thread go have a lookOooh i really understand you my bro and thank you so much for your help
I really like to know well this language so if am wrong and you tell me i realy like it thank you my brother
Ok let me go and subscribe that threadThere is a thread about English learning in Education Forums, its a pinned Thread go have a look
Lakini Simba na Yanga zao huwa zinapelekwa mbele mpaka kufikia margin ya mechi tano ,Kwa kisingizio cha kujiandaa na mechi za CAFTFF Washikilie hapohapo, timu zijifunze kufanya mambo mapema. Mechi haiwezi kupelekwa mbele kwa uzembe wa timu moja. Walikua na muda mwingi sana kujiandaa lakini wakazembea
Nitakualika kwa lunch weekend moja ambayo utachagua wewe iwe lini.Ee ndo mimi... 🤣 🤣