Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Midfielders wa Juventus wapo vizuri hatariii,Huyu Pirlo analindwa na Pogba,Marchisio na Vidal ye anakuwa huru kuamua mpira uende wapi.Watu hawaangalii kona zote wameng'ang'ania MSN,Defense ya Juve pia ipo.vizuri,foward yao si ya kubeza.Mechi ni ngumu na wakienda matuta basi Barca OutWanachukulia hii mehi Kama mteremko,midfield ya juventus imeshiba,mtazamo wangu juve wanashinda au wataenda extra time mpaka matuta