Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Wanachukulia hii mehi Kama mteremko,midfield ya juventus imeshiba,mtazamo wangu juve wanashinda au wataenda extra time mpaka matuta
Midfielders wa Juventus wapo vizuri hatariii,Huyu Pirlo analindwa na Pogba,Marchisio na Vidal ye anakuwa huru kuamua mpira uende wapi.Watu hawaangalii kona zote wameng'ang'ania MSN,Defense ya Juve pia ipo.vizuri,foward yao si ya kubeza.Mechi ni ngumu na wakienda matuta basi Barca Out
 
Wanachukulia hii mehi Kama mteremko,midfield ya juventus imeshiba,mtazamo wangu juve wanashinda au wataenda extra time mpaka matuta

Hamna extra time, hamna matuta hapo, dakika 90 + 3 'added minutes' watu tunachukua ndoo tunakamilisha 'trebble' tunaenda kulala. Huu mpira unaweza kuisha kipindi cha kwanza kabisa mkuu.
 

Halafu si unajua ule mfumo wao midifield wengi,kwahiyo mipira inakuwa haiwezi kupita
 
kwa hyo mkuu dua zako ni matuta
 
Kwa wale wapenzi na mashabiki wa michezo hasa mpira wa miguu(soka), usiku huu mnamo saa 3:45 tunatarajia kuonana kabumbu safi na ufundi wa hali ya juu kutoka kwa kibibi kizee cha Turin na wacatarunya(wachawi wa soka). Jamani wanajf tupeane update na kuchangia maoni kama timu zetu tunajifunza nini,wachezaji watakaong'ara kwenye mchezo huu, link za kuangalia live kwenye cm,update live za blog,n.k. nawakilisha. Ila kwa wale wataalamu wa soka kama makocha watusaidie sheria 17 na magoli ya utata. Nawakilisha
 
Namwona vidal...tevez kwa mbaaaali....wanaelekea ndan...NTAFURAHI SANA BARCA AKIDUNDWA LEO!!!
 
wasijekula kichapo ka kile cha BRAZILLIIIii iii wakala chali
 
MSN hope hamtaniangushaaaa mfikishe magoli 123 bas msimu huu et.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…