labda ndoo ya maji ya kuogea watabeba kuwapelekea bafuni wanaume zao barcaJuventus kibibikizeeee cha torino lazmaaaaaaaaaa tubebe ndooooooooo
labda ndoo ya maji ya kuogea watabeba kuwapelekea bafuni wanaume zao barca
Ni leo hii majira ya saa tatu na dakika arobaini na tano (09:45) usiku kwa majira ya Afrika Mashariki katika uwanja wa OLYMPIASTADION BERLIN ulioko katika jijila Berlin nchini Ujerumani mchezo wa kuhitimisha mashindano makubwa kabisa kwa ngazi ya vilabu UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
Mengi yanategemewa katika mechi hii.
Sasa weka utabiri wako hapa..
#TeamBarcelona #UCL
Barc ndo timu
utabiri wangu ni wazi kuwa Refa ataharibu mechi kama ilivyo kawaida hii timu ikicheza...
HUU MPIRA UNAISHA KIPIND CHA KWANZA YAAN DK 45 JUVENTUS hawarud uwanjani wanaamua tu kombe litolewe kwa BARCA. YAAN BARCA wanashinda kwa TKO kama ni kwenye masumbwi tungeita hivyo. Juventus wanaona hamna haja ya kupoteza dk 45 za kipind cha pili heri wenye kombe lao wapewe wamalize mpira kwa aman.

Kwa ile beki MSN hawaendi kokote.