Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Juventus vs FC Barcelona
[LINE-UP | ALINEACIONS | ALINEACIONES]
1.Ter Stegen
3.Piqué
4.Rakitic
5.Sergio
8.Iniesta
9.Suárez
10.Messi
11.Neymar
14.Mascherano
18.Jordi Alba
22.Alves
Substitutes / Suplents / Suplentes:
Bravo, Bartra, Mathieu, Adriano, Xavi, Rafinha, Pedro
 
HUU MPIRA UNAISHA KIPIND CHA KWANZA YAAN DK 45 JUVENTUS hawarud uwanjani wanaamua tu kombe litolewe kwa BARCA. YAAN BARCA wanashinda kwa TKO kama ni kwenye masumbwi tungeita hivyo. Juventus wanaona hamna haja ya kupoteza dk 45 za kipind cha pili heri wenye kombe lao wapewe wamalize mpira kwa aman.
 
labda ndoo ya maji ya kuogea watabeba kuwapelekea bafuni wanaume zao barca

Tunabeba zetu kombe tunaamsha Italy sasa msilie mkiambiwa wapelekeee maji wanaume bafun wakatoe jasho wapate nguvu mpya ya kusepa home Italy
 
Ni leo hii majira ya saa tatu na dakika arobaini na tano (09:45) usiku kwa majira ya Afrika Mashariki katika uwanja wa OLYMPIASTADION BERLIN ulioko katika jijila Berlin nchini Ujerumani mchezo wa kuhitimisha mashindano makubwa kabisa kwa ngazi ya vilabu UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

M
engi yanategemewa katika mechi hii.

Sasa weka utabiri wako hapa..

#TeamBarcelona #UCL

utabiri wangu ni wazi kuwa Refa ataharibu mechi kama ilivyo kawaida hii timu ikicheza...
 
HUU MPIRA UNAISHA KIPIND CHA KWANZA YAAN DK 45 JUVENTUS hawarud uwanjani wanaamua tu kombe litolewe kwa BARCA. YAAN BARCA wanashinda kwa TKO kama ni kwenye masumbwi tungeita hivyo. Juventus wanaona hamna haja ya kupoteza dk 45 za kipind cha pili heri wenye kombe lao wapewe wamalize mpira kwa aman.

ha ha ha ha ha ha ha hyo kali mkuu
 
Barcelona wanafungwa 2-1
 
HUU MPIRA UNAISHA KIPIND CHA KWANZA YAAN DK 45 JUVENTUS hawarud uwanjani wanaamua tu kombe litolewe kwa BARCA. YAAN BARCA wanashinda kwa TKO kama ni kwenye masumbwi tungeita hivyo. Juventus wanaona hamna haja ya kupoteza dk 45 za kipind cha pili heri wenye kombe lao wapewe wamalize mpira kwa aman.

Kwa ile beki MSN hawaendi kokote.
 
Mechi itashindiwa kwenye mildfield. Timu itakayoshinda vita vya mieldfield ndiyo itakuwa bingwa
 
Back
Top Bottom