you talk dude..Mechi itashindiwa kwenye mildfield. Timu itakayoshinda vita vya mieldfield ndiyo itakuwa bingwa
Ataharibu kwa kujaribu kuwabeba Barcelona.
beki gani huyo wakumzuia msn
wadau vip azam tv watarusha uu mtanange au nijongee kunako dstv???
TBC2 Mkuu.wadau vip azam tv watarusha uu mtanange au nijongee kunako dstv???
Siku kama ya leo ndio siku nisizozipenda ....
Juventus na Barca yote machama yangu...
Hapa nashindwa nishangile goli la nani akifunga...
Bonucci,Evra,licht and Barzagl
goli zuri tu ndio ushangilie mkuu,...