Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Naona duniani kote wanawake ni commodity (bidhaa) ya kuburudisha kama kawaida
 
wadau vip azam tv watarusha uu mtanange au nijongee kunako dstv???
 
Siku kama ya leo ndio siku nisizozipenda ....

Juventus na Barca yote machama yangu...

Hapa nashindwa nishangile goli la nani akifunga...
 
Siku kama ya leo ndio siku nisizozipenda ....

Juventus na Barca yote machama yangu...

Hapa nashindwa nishangile goli la nani akifunga...

goli zuri tu ndio ushangilie mkuu,...
 
Good evening everybody

Mechi karibu iaanza

Mimi naona Juve watashinda.

Ni kwa Patrice Evra kumdhibiti Messi na Tevez kumshughulikia Busquest.

Evra na Tevez walifanya kazi hiyo Man Utd walipoifunga Barcelona miaka zaidi ya mitatu ilopita.
 
Ngoja tuone hawa wala rushwa wa UEFA walivyokwishapanga mshindi wa kombe hili kabla mechi haijachezwa kama FIFA walivyofanya
 
Back
Top Bottom