Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Moraaaata no anatoa nje

Dakika ni ya 24 goli Barca 1 Juve 0
 
Naona Barca wameondoa mkuu kwnye gas ..
 
Marchisioooooo no nae shuti lake linapaa juu ya a besela!
 
i know meandu nmetumia lugha ya picha tu kwa ajili ya kuwakebeh juventus kuwa wataweka mpira kwapan. nadhan ungesoma mpka mwisho ungeona nmesema wataacha barca wakabidhiwe kombe lao tu. wat i was trying to say ni kuwa kipind cha kwanza kitatoa mshindi na juventus watapoteza mapema sana ushindi.
 
Barça wamemsajili Kim Jong il lini? Halafu wamempa jezi namba 10 kabisa.
 
Kuiangalia Barca inachukua kombe ni sawa na CCM wanashinda uchaguzi mkuu.

I just hate this team
 
Barcelona wanacheza wakiwa juu kidogo eneo la hivyo kuwanyima nafasi Juve kumiliki mpira pale katikati.

Pia Pirlo anarudi sana nyuma hivyo kusababisha mashambulizi mengi kutoka kwa Barca ambao wanatawala sehemu ya kiungo.
 
Hiki kibarua alichopewa Pogba kumkaba Messi atakiweza kweli jamani!
 
Mascherano alipokuwa Liverpool alikuwa akicheza kama kiungo na alipokwenda Barca akabadilishwa na Guadiola na mpaka leo anacheza kama mkoba na amemweka nje mtu kama Vermaelen mwaka mzima, very interesting.

Vermaelen kaenda Barca akiwa majeruhi sio suala la kuwekwa benchi...
 
Hili teja vidole limeanza sasa kutulia na kucheza mpira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…