Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vidal siyo? Haya tutaona kama ataweza na hicho kiduku chake.
goli linarudi
Hivi Pogba yupo?
Barça wamemsajili Kim Jong il lini? Halafu wamempa jezi namba 10 kabisa.
Kuiangalia Barca inachukua kombe ni sawa na CCM wanashinda uchaguzi mkuu.
I just hate this team
Barça wamemsajili Kim Jong il lini? Halafu wamempa jezi namba 10 kabisa.
Mascherano alipokuwa Liverpool alikuwa akicheza kama kiungo na alipokwenda Barca akabadilishwa na Guadiola na mpaka leo anacheza kama mkoba na amemweka nje mtu kama Vermaelen mwaka mzima, very interesting.