Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Hivi kufanya vile kunaruhusiwa? hamna kupigwa fine?

Sijawahi kusikia akipigwa faini. Nadhani inahesabika kama kikumbukisho(memento/souvenir). Nilishaona hata wachezaji wa NBA wakifanya hivi baada ya kubeba ring. Pique inabidi a-trademark hii kitu katika soka, sijawahi kuona mcheza-soka mwingine akifanya hivi LOL.
 
sijaelewa vzr...kiboko
hujaelewa umesha ambiwa ile anachukua anaweka kumbukumbu unataka uwelewe vipi tena angali ikata nyavu kabla ya mchezo kuisha ingalikua kosa na hata angalipigwa fine ila mchezo umeisha hile nyavu ni kwa ajili ya ucl na mchezo umeisha haitotumika tena wenzetu si kama africa watumie vifaa mara 2 kila gem kitu kipya
 
Another bad results after man United and real Madrid
 
juve wachumba tu.nawatamani sana PNC 1usiku huu
 

Attachments

  • 1433636239017.jpg
    26 KB · Views: 272

...see what I meant?

Iniesta - provider for the the 1st goal
Dracula - scored the 2nd
Neymar - scored the 3rd

Messi had a hand in the build-up to each of the 3 goals but Juve forgot that wacheka na neti Barca ni zaidi ya Messi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…