RRONDO hawezi kuliaa mimi na yeye tena watoto wa OT. everlenk si unakumbuka nilikuambia mume wangu ni man u eeeh? Sasa Ni RRONDO. Tumeshajiandaa kufunga ndoa itakayovunja record...We mtoto wewe!!!! Ivi unajipenda kweli? Usije ukafanya RRONDO akalia.
Yaaan hawa watoto wa Mou hawafai hata kidogo kazi yao ni kutuzunguka tu sasa watajuta kutufahamu..... b5-click kumbe ndo zako eeeh!!Hahahaaa kanunua wapi? Aliniomba namba za simu anitumie hela tigo pesa maana yeye procidure za kulipia hazijui nikampa akaishia kunitongoza nika juuuuuuutaaaa
Nithameeeheee... Niliogopa ungeninunia mamitoh, lakini mm naapa thirudiii tena mpnz
Unataka nikusamehe???........sweetiii ni hivi nina shida ya 5M naomba unisaidie...... I love you sweet .......halafu leo nina suprize yako.......😀😀😀
Unataka nikusamehe???........sweetiii ni hivi nina shida ya 5M naomba unisaidie...... I love you sweet .......halafu leo nina suprize yako.......😀😀😀
Sweet nataka cash account yangu ntaonekana fisadi wakaniescrow bure.......
Eeeenh hapo ndo patamu.. Tena Leo Niko mjini nimekuja kuchukua vfaa vya madogo wa jkt, tukutane nikupe diah
cute b umeona eenh naanza kununiwa jamani!? Haya sasa lete number yako nifanye kweli tu
Eeeenh hapo ndo patamu.. Tena Leo Niko mjini nimekuja kuchukua vfaa vya madogo wa jkt, tukutane nikupe diah
Tukutane wapi sasa Kilimanjaro hotel au? cute b nimeomba lift kwenye difenda la Jeshi sijui nitapona miye ukiona siji deal na huyu huyu.....
Wacha longolongo zako wew mpe hela ugomvi utaishaaa
juve mpo humu