Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

cute b umesikia? Hivi niambie b5-click amelipa ile bando ya DSTV?......tuanzie hapo ili nijue .......halafu huyu b5-click anajifanya mjanja mjanja juzi si kanidanganya eti anashabikia Barca hee namkuta mtaa wa pili eti anasema yy ni team Juve..... Ila nilishukuru tu maana alituondolea kimkosi.

Hahahaaa kanunua wapi? Aliniomba namba za simu anitumie hela tigo pesa maana yeye procidure za kulipia hazijui nikampa akaishia kunitongoza nika juuuuuuutaaaa
 
Last edited by a moderator:

Hahahahah everlenk usimsikilize cute b ni mchonganishi... Hebu nifanyie tena ile namba haraka maana ilipotea ili tukutane m/city nilipe
 
Last edited by a moderator:
We mtoto wewe!!!! Ivi unajipenda kweli? Usije ukafanya RRONDO akalia.
RRONDO hawezi kuliaa mimi na yeye tena watoto wa OT. everlenk si unakumbuka nilikuambia mume wangu ni man u eeeh? Sasa Ni RRONDO. Tumeshajiandaa kufunga ndoa itakayovunja record...
Keki ya man u gari man u kila kitu red yaan... Ntuzu fanya kuhamia huku nikuonje na wew jamani
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa kanunua wapi? Aliniomba namba za simu anitumie hela tigo pesa maana yeye procidure za kulipia hazijui nikampa akaishia kunitongoza nika juuuuuuutaaaa
Yaaan hawa watoto wa Mou hawafai hata kidogo kazi yao ni kutuzunguka tu sasa watajuta kutufahamu..... b5-click kumbe ndo zako eeeh!!
 
Last edited by a moderator:
RRONDO hawezi kuliaa mimi na yeye tena watoto wa OT. everlenk si unakumbuka nilikuambia mume wangu ni man u eeeh? Sasa Ni RRONDO. Tumeshajiandaa kufunga ndoa itakayovunja record...
Keki ya man u gari man u kila kitu red yaan... Ntuzu fanya kuhamia huku nikuonje na wew jamani

Duh!!!! Aiseee sitaki unionje utalewa!
 
Last edited by a moderator:
Nithameeeheee... Niliogopa ungeninunia mamitoh, lakini mm naapa thirudiii tena mpnz

Unataka nikusamehe???........sweetiii ni hivi nina shida ya 5M naomba unisaidie...... I love you sweet .......halafu leo nina suprize yako.......😀😀😀
 
RRONDO hawezi kuliaa mimi na yeye tena watoto wa OT. everlenk si unakumbuka nilikuambia mume wangu ni man u eeeh? Sasa Ni RRONDO. Tumeshajiandaa kufunga ndoa itakayovunja record...
Keki ya man u gari man u kila kitu red yaan... Ntuzu fanya kuhamia huku nikuonje na wew jamani

Hahahaha!!! Safiii mumy kitu yako ibaki home....... Yeleuwiiii Ngosha hachelewi hapa atazuga kama hataki ila tukiondoka atakufuata Fanya umpe na card kabisa kisha tutakuja kumtangazia uanachama wake August.
 
Last edited by a moderator:
Unataka nikusamehe???........sweetiii ni hivi nina shida ya 5M naomba unisaidie...... I love you sweet .......halafu leo nina suprize yako.......😀😀😀

Hakuna shida, niliumbwa mwanaume ili mamitoh ufurahi.. Kesho asubuhiiii angalia a/c yako mpnz
 
Eeeenh hapo ndo patamu.. Tena Leo Niko mjini nimekuja kuchukua vfaa vya madogo wa jkt, tukutane nikupe diah

Tukutane wapi sasa Kilimanjaro hotel au? cute b nimeomba lift kwenye difenda la Jeshi sijui nitapona miye ukiona siji deal na huyu huyu.....
 
Last edited by a moderator:
Tukutane wapi sasa Kilimanjaro hotel au? cute b nimeomba lift kwenye difenda la Jeshi sijui nitapona miye ukiona siji deal na huyu huyu.....

Uwiiiii kiruuuu...
Ebu fanya kunijuza huyu ni mjeda au?? Au nikushauri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom