Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Attachments

  • Twitter271cf8a_jpg.jpg
    Twitter271cf8a_jpg.jpg
    42.2 KB · Views: 142
Refa amemnyima Pirlo nafasi ya kufanya vitu vyake ..
 
Hivi Pogba anasifika kwa lipi? Tangu nianze kumwangalia(mechi kadhaa) sijagundua uzuri wake. Labda ni makengeza yangu naona dogo ni overrated my opinion.
 
kustaili hyo juve watapatia wap goli
 
Hivi Pogba anasifika kwa lipi? Tangu nianze kumwangalia(mechi kadhaa) sijagundua uzuri wake. Labda ni makengeza yangu naona dogo ni overrated my opinion.

akifunga ndio utamjua..
 
Pogba anaweza kusaidia sana Juve kushinda mechi hii, lakini ametulizwa sana na Mascherano
 
Badala yake Pogba sasa anaanza kucheza rafu, anamwangusha Messi katikati ya uwanja.

Dakika inakwenda ya 42 Barca 1 Juve o
 
Huyu refa naye!! Njano kwa juve tu. Neymar alifanya faul ya nyekundu kabisa ila hata njano haikutoka
 
To slow things down Juventus wameamua kuanza na Messi kwa kumdhibiti kwa njia ya rafu za hapa na pale. Pirlo nae amenza kazi.

Lakini muda unakwenda na ni dakika ya 44 labda ya mbili za nyongeza kabla ya mapumziko.

Barca 1 Juve 0
 
Back
Top Bottom