Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mkongwe Xavi anajiandaa kuingia na hii ikiwa pengine ni mechi yake ya mwisho kabla hajastaafu kucheza mpira.
 
Kama goli la neema lingekubaliwa basi mechi ilikuwa imeisha
 
Barca wanafanya mabadiliko na Xavi Hernandez anaingia na kuchukua nafasi ya Iniesta.

Dakika ni ya 79 inakwenda.
 
Kama goli la neema lingekubaliwa basi mechi ilikuwa imeisha

Hapana .. mpira ni mpira. nadhani jana mchana uliangalia mechi kati ya USA na Netherlands! hadi dk ya 82 waholanzi walikuwa wanaongoza 3-1, lakini mechi iliisha kwa USA kushinda 4-3.
 
Back
Top Bottom