Mechi ya Barcelona na Madrid saa ngapi?

Mechi ya Barcelona na Madrid saa ngapi?

Godwine

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2010
Posts
1,371
Reaction score
283
wakuu nauliza mechi saa ngapi na itaonyeshwa kwenye channel namba ngapi kwa sisi tunaoangalia kwenye enternet na tuliojiunga na WH 2.......700
 
wakuu nauliza mechi saa ngapi na itaonyeshwa kwenye channel namba ngapi kwa sisi tunaoangalia kwenye enternet na tuliojiunga na WH 2.......700
Kama uko afrika ya Mashariki ni saa sita usiku.
 
Saa 6 usiku, kwa watumiaji wa star times itaonekana kupitia satanter afrika.
 
nasikia dstv hawarushi? Naona wameweka FA cup saa hii so itaisha saa saba hiv kwenye S3.....
 
ha ha..mbona jirani hivyo..basi nitahamia hapo! nimevaa t-shirt ya Barcelona..ukiniona utajua tu!

Makubwa leo kushabikia Barca....ama kweli Ronaldo kafulia....mi utaniona pia nitavaa t-shirt ya Arsenal ina picha ya Henry mbele na Messi nyuma....lolest.....!! Tukutane jukwaa la Barca basi!
 
Makubwa leo kushabikia Barca....ama kweli Ronaldo kafulia....mi utaniona pia nitavaa t-shirt ya Arsenal ina picha ya Henry mbele na Messi nyuma....lolest.....!! Tukutane jukwaa la Barca basi!

Huwa kuna mashabiki wachache wa manure wanaoshabikia Barca, mie mmoja wapo..powa ntakusubiria na hiyo tishet yako nikiona ina chogo(Henry) mbele najua ni wewe...Haya see you jukwaa hilo..huyoo naja!
 
leo saa 6 usiku, kama unaking'amuzi cha STARTIMES utaupata pia mchezo huu live kupitia SETANTA AFRICA!!!1
 
Time is 4:00pm Eastern USA Time - Tanzania is 12:00am Midnight

Kama yuko UK una Plus 5 4:00pm - UK UK 9:00pm
 
wajumbe tuendeleze kuweka updates pindi mechi itapoanza na hasa pale magoli yatapofungwa kwa kila pande bila ya kujali ushabiki
 
Now the big guys are ready to kick @ other butts..Viva Clasico..
 
Mi' natumia huduma ya cable! Jamaa katuwekea SS7,inaonyesha mechi ya akina Drogber! Ni kweli DStv,hawaionyeshi mechi hiyo?
 
Mi' natumia huduma ya cable! Jamaa katuwekea SS7,inaonyesha mechi ya akina Drogber! Ni kweli DStv,hawaionyeshi mechi hiyo?

Umeishaambiwa na wadau inaonyeshwa sentanta, hiyo inapatikana startimes sio dstv, dstv hawaonyeshi hiyo mechi mkuu!
 
Back
Top Bottom