Mechi ya fainali Esperence vs Wydad casablanca yatuvua nguo waafrica.

Mechi ya fainali Esperence vs Wydad casablanca yatuvua nguo waafrica.

point siyo mapato point ni radha ya mchezo na mashabiki wote wapate kitu roho inapenda..

kuna maana gani yakucheza bila mashabiki
Ata ulaya walianza hvyo mfano inacheza Ms aliger anayocheza Tomas Ulimwengu Vs Tenilif anayocheza Msuva alafu fainali inachezwa taifa unafikili mashabiki awatakwenda? Hivi siku ile inacheza Golimahia ya kenya vs Evarton kulikuwa na timu ya Tanzania pale ? Mbona mashabiki walijaa kuliko siku simba imecheza na Sevilla? Jalibu kushirikisha ubongo wako japo kidogo basi.
 
Inashangaza sana. Fainali mbili nyumbani na ugeni. Upambavu mtupu. Fainali ni Neutral ground,tena mechi moja tu. Hizi mechi 2 ni upuuzi mtupu,eti Home and Away, kupoteza ladha ya jina Final!

Huu ndio ukwel
 
Ata ulaya walianza hvyo mfano inacheza Ms aliger anayocheza Tomas Ulimwengu Vs Tenilif anayocheza Msuva alafu fainali inachezwa taifa unafikili mashabiki awatakwenda? Hivi siku ile inacheza Golimahia ya kenya vs Evarton kulikuwa na timu ya Tanzania pale ? Mbona mashabiki walijaa kuliko siku simba imecheza na Sevilla? Jalibu kushirikisha ubongo wako japo kidogo basi.
unashindwa hata kuelewa ni kwann mashabiki walijaa taifa gor mahia ilipocheza na everton alafu unaniambia mimi nishirikishe ubongo wangu kweli?

embu chukua simba ikacheze na gormahia uwanja wa south africa tu hapo uone viti vitakavyobaki wazi
 
Kwahyo umekasilika? Kwahyo kwamba walikuja kumuona Roney ndo maana uwanja ukajaa? Hv wangapi wanashangilia Genk ikiwa inacheza kwao ili kumuona Sammata au ni wakenya wangapi wanafatilia au watakuwa wakiifatilia Spurs itakapokuwa inacheza na liverpool leo usiku? Tena nakuakikishia mashabiki wote wakenya leo ata wanaoipenda liverpool leo watakuwa Spurs kwa sababu tu kuna raia mwenzao anacheza hyo timu. Uzuri waafrica wengi wametapakaa kila sehemu kwenye timu za africa kwahyo Nchi nyingi za Africa zina wachezaji wao kwenye club nyingi kubwa za Africa lkn pia mashabiki sio hoja inaweza kuchezwa fainali wakabwebwa wanafunzi,wanachuo,wanajeshi ili wajazae uwanja tena bule lengo hapa ni kushawishi waandaaji wengine kwenye hzo fainali kwamba wenzenu msimu ulopita walijaza uwanja how about u?
 
Nasimama na Wydad... huu ujinga hata dukani haupo, Tunaendekeza ujinga ili dunia ituone wajanja.
VAR inakuwaje mbovu... Rais wa CAF na vitambi wenzake wanafata nini uwanjani wakati wanajua mechi inaishaje?... Huu ujinga halafu watu wanasema mechi iendelee wafunge goli lingine.. Ili iweje? kwa nini goli likataliwe tena halali.
Walichofanya WAYDAD jana wako sawa ili CAF wajifunze na wajinga wengine wadowadogo.
 
Jana bwana pale Tunisia ulipigwa mtanange wa fainali ya pili baada ile ya kwanza iliyochezwa wikimoja iliyopita kule morrocco kuisha kwa 1-1. Kwenye ile mechi ya mkondo wa kwanza lilifungwa goli la utata VAR ikafanya kazi sawasawa, kituko kwenye mechi ya marejeano ya jana usiku Esperence walitangulia kufunga goli wydad wakachomoa kwa goli la kichwa refa akasema ni offside ikabidi wakarejee kwenye VAR kufika kwenye VAR eti ikagoma kufanya kazi. Refa akawaita wydad waludi kuendelea na mpira wydad wakagoma refa akasubili dakika kumi na tano wydad wakagoma kabisa kuendelea na mchezo, CAF wakaipa ubigwa Esperence. Yani mpira wa africa ni ovyo ovyo sio TFF wala CAF wote ni watoto wa baba mmoja.
Ni kweli mambo Waafrika ni hovyohovyo tena zaidi watu weusi.

Ujinga na ubinafsi umewajaa watu weusi
 
kamati ya saa 24 inasemaje huko jamani, au haipo???
 
hata mimi nasimama na Wydad.. wanaume hawapaswi kukubali ujinga... hata machifu wetu kina mkwawa walipigania haki zao

Nasimama na Wydad... huu ujinga hata dukani haupo, Tunaendekeza ujinga ili dunia ituone wajanja.
VAR inakuwaje mbovu... Rais wa CAF na vitambi wenzake wanafata nini uwanjani wakati wanajua mechi inaishaje?... Huu ujinga halafu watu wanasema mechi iendelee wafunge goli lingine.. Ili iweje? kwa nini goli likataliwe tena halali.
Walichofanya WAYDAD jana wako sawa ili CAF wajifunze na wajinga wengine wadowadogo.
 
Si kweli, rejea mechi aliyobebwa Barcelona Vs PSG 6-1 pale Catalonia Mwaka ya hivi karibuni, tena Refa aliadhibiwa hadi kushushwa daraja na kuchezesha EUROPA badala ya UEFA tena.
Ni kweli lakini hakuna team iliyotoka uwanjani na pia kuna tofauti ya kufungiwa na kushushwa daraja, kumshusha daraja ni kama kusema uwezo wake ni mdogo level hii ni kubwa kwake inabidi aende kuchezesha mechi ndogo ya hizi lakini kumfungia kuna maana kama uwezo anao lakini kwa kusudi tu kaharibu mechi mawili rushwa. sasa kwenda kufungia refa first leg ni kama kusema kuna dalili za rushwa wangemshusha daraja tu. narudia kauli yangu huwezi kusikia team CL Europe inatoka uwanjani kama kutoka hata PSG mechi na Man u wangetoka lakini watu wamelalamika mpira umeendelea.
 
Inashangaza sana, Eti VAR kuwa mbovu katika mechi muhimu ya fainal ya club bingwa Africa! Rais wa CAF na wenzake wote walipaswa wale wameshajiuzuru mpaka sasa. Kabla hajawalaumu Wydad inabidi uishangae CAF kwanza!
 
Jana bwana pale Tunisia ulipigwa mtanange wa fainali ya pili baada ile ya kwanza iliyochezwa wikimoja iliyopita kule morrocco kuisha kwa 1-1. Kwenye ile mechi ya mkondo wa kwanza lilifungwa goli la utata VAR ikafanya kazi sawasawa, kituko kwenye mechi ya marejeano ya jana usiku Esperence walitangulia kufunga goli wydad wakachomoa kwa goli la kichwa refa akasema ni offside ikabidi wakarejee kwenye VAR kufika kwenye VAR eti ikagoma kufanya kazi. Refa akawaita wydad waludi kuendelea na mpira wydad wakagoma refa akasubili dakika kumi na tano wydad wakagoma kabisa kuendelea na mchezo, CAF wakaipa ubigwa Esperence. Yani mpira wa africa ni ovyo ovyo sio TFF wala CAF wote ni watoto wa baba mmoja.

= warudi
= akasubiri
 
Nasimama na Wydad... huu ujinga hata dukani haupo, Tunaendekeza ujinga ili dunia ituone wajanja.
VAR inakuwaje mbovu... Rais wa CAF na vitambi wenzake wanafata nini uwanjani wakati wanajua mechi inaishaje?... Huu ujinga halafu watu wanasema mechi iendelee wafunge goli lingine.. Ili iweje? kwa nini goli likataliwe tena halali.
Walichofanya WAYDAD jana wako sawa ili CAF wajifunze na wajinga wengine wadowadogo.
Kabisa, hata mimi nakubaliana.
Huwezi kubali tu kisa mzungu wa Manchester au Paris kaonewa akakubali kucheza.
Lazima CAF next time wajifunze kuangalia miundombinu ya uwanja na kukubali kuwa si kila hatua wapige pesa, hii fainali ingepelekwa hata Comoros Island huko na iwe moja tu.
 
Huu ujinga Africa cjui utaisha lin kwakwel
Co tff,co fkf ya kenya Wala co caf
Yani wote n baba mmoja kukumbatia tu vtambi
 
Hao waliogoma kuendelea na mechi (Wydad) inabidii waadhibiwe (ikiwezekana wafungiwe kushiriki haya mashindano) maana huko ni kukosa nidhamu kwani baada ya mechi wangepeleka malalamiko yao kwa wahusika.
Nyie ndo wale mnapgwa Na,wake zenu
 
Nimeshangaa bin kushangaa. Africa tuna matatizo tena makubwa. Eti VAR haifanyi kazi fainali jamani. Halafu mechi ya kwanza i.e first leg ilichezwa saa saba usiku ya Tanzania. Kule penalt ilikataliwa,captain akalimwa red card. Jana napo lille lilikuwa goli,likakataliwa. Inshort Esperance alipangwa ashinde njoo mvua njoo jua. Africa is shit continent.
Uko vizur aiseeee
 
Watu wengi wanalalamikia kitendo cha kutoka uwanjani et kwasababu ulaya hata timu ikionewa wanabaki uwanjani na mechi inaendelea.
Lakin unatakiwa kujua kitu kimoja, ulaya ikitokea mtu kaprndelewa basi mara nyingi inakuwa ni udhaifu wa mwamuzi mwenyewe, na siyo kwa sababu ya rushwa, ila africa mwamuzi anakosea makusudi kwasababu ya rushwa. Na hapo ndipo ninaungans na wydadi kutoka uwanjani kwa sababu ya mazingira. Ukiangalia walivyoonewa gemu ya kwanza na mambo yakaendelea hadi mechi ya pili, harafu mbaya zaidi at refa anasrma var imeharibika ingawa kule kwenye chumba cha var kulikuwa na marefaree.
Kwahiyo wydad walijua hata wapambane vip, mshindi kashaamuliwa
 
hata champions league ya america fainali ni 2.. kina neymar wamezicheza sana hizo.... hata champions league ya asia fainali ni 2.... ulaya peke yake ndiyo wana 1 final
Mkuu ukichacheza mbili hiyo siyo final tena na ishapoteza maana ya neno ya final.....
 
Back
Top Bottom