Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

Fainali: FRANCE vs BRAZIL

Bingwa: FRANCE
Safari hii Brazil hawatokubali kuwa wateja tena!!

Ufaransa haina viungo wakukabiliana na wa Brazil!!

Ufaransa Wana washambuliaji tu na Beki wazuri!

Brazil Wana Beki,viungo na washambuliaji hatari sana!

Brazil atashinda Battle Kati Kati ya uwanja na Hapo Ndipo mechi itaamuliwa!!
 
Netherlands amefika hapo alipo kwasababu ya ubovu wa forward ya Marekani. Ile mechi yao wangeweza kupigwa hata 3 kipindi cha kwanza. Pia kaunta attacks zao zilikuwa nyepesi sana kwa timu compact kama Argentina hawataweza kuzipiga.

Morocco wakikutana na viungo wanaojua kupress na kufungua njia wanafungika kirahisi. Wakisharuhusu goli moja wataanza kucheza open game na hapo wataumia zaidi.

Spain na viungo wake wameshindwa kuifungua morocco sembuse portugal?? unajua mtiti wa busquets, pedri, na gavi kwenye kufungua njia wewe? morroco akiingia game ya portugal akikaa nyuma mechi inaisha bila portugal kupata goli ata moja, portugal anastruggle sana akicheza na timu zinazoweka low block, ukitaka portugal ashinde io game inabid morroco aamue kufunguka kama waswisi apo portugal atampiga ata goli 4 ila morocco akisema akae nyuma asubir counter portugal ataumia
 
Argentina haiwezi cheza dakika 90[emoji23][emoji23][emoji23]mechi ya juzi na Australia ilikua ni utopolo sana
Game ilikuwa ngumu sana ile maana jamaa walikuwa wamekamia ingawa hawana majina makubwa.
 
Spain na viungo wake wameshindwa kuifungua morocco sembuse portugal?? unajua mtiti wa busquets, pedri, na gavi kwenye kufungua njia wewe? morroco akiingia game ya portugal akikaa nyuma mechi inaisha bila portugal kupata goli ata moja, portugal anastruggle sana akicheza na timu zinazoweka low block, ukitaka portugal ashinde io game inabid morroco aamue kufunguka kama waswisi apo portugal atampiga ata goli 4 ila morocco akisema akae nyuma asubir counter portugal ataumia
Pedri na gavi ndio uwafananishe na bernardo na fernandez? Hapo kuna joao felix pia. Ila mwisho wa siku tutaona dakika tisini japo mimi naiona kama mechi rahisi kwa ureno.
 
Morocco hajapeleka moto bali alipelekewa moto na kupaki basi. Wana nidhamu ya hali ya juu hivyo mchezo utakuwa mzuri. Ureno wanao viungo wanaofungua njia ndio maana ninaona Morocco watatolewa kirahisi.
Ureno atatolewa mapema sana
 
Pedri na gavi ndio uwafananishe na bernardo na fernandez? Hapo kuna joao felix pia. Ila mwisho wa siku tutaona dakika tisini japo mimi naiona kama mechi rahisi kwa ureno.

bernardo portugal anacheza chini anahold mpira na kukaba wala sio mtu wa kupiga penetration passes akiwa portugal, hao wote uliowataja hakuna hata mmoja wa kucheza possesion football portugal wanamtegea sana bruno kupiga killer passes kwenye spaces na ndio silaha yake kubwa na ili aweze kufanya hivyo inabid kuwe na spaces, morroco akikaa nyuma hao kina bruno wata struggle sana kupiga pass za mwisho. All in all mm kwa utabir wangu namuona morroco atakuwa na game rahis akicheza na portugal kuliko alivyocheza na spain, atulie acheze low block kwa nidhamu asubir counter
 
Kwa mpangilio wa mechi ulivyo, Ufaransa na Argentina wanaweza kukutana Nusu Fainali kama watashinda mechi zao za Robo Fainali na sio Fainali.
Hapo umekosea. Argentina na Ufaransa wapo njia tofauti. Kama wakipita watakutana fainali.
 
bernardo portugal anacheza chini anahold mpira na kukaba wala sio mtu wa kupiga penetration passes akiwa portugal, hao wote uliowataja hakuna hata mmoja wa kucheza possesion football portugal wanamtegea sana bruno kupiga killer passes kwenye spaces na ndio silaha yake kubwa na ili aweze kufanya hivyo inabid kuwe na spaces, morroco akikaa nyuma hao kina bruno wata struggle sana kupiga pass za mwisho. All in all mm kwa utabir wangu namuona morroco atakuwa na game rahis akicheza na portugal kuliko alivyocheza na spain, atulie acheze low block kwa nidhamu asubir counter
Portugal watatumia hata kross na joao felix kufanya dribbles. Lazima Morocco atafungwa tu. Spain hakupata goli kwasababu hakufanya pressing wala kumwaga maji. Tusubirie maana ni hapo kesho.
 
Naisubiri kwa hamu sana semi final ya brazil vs argentina.. naoenda soka america kusini pale wanapokutana wapinzani wa jadi ufundi, kukamiana, ubabe n.k kikubwa tu iyo game refa asiwatishe wachezaji kwa kutoa kadi kizembe zembe watu tuone show ingawa karata yangu nampa brazil maana ile front 4 yao ujui umkabe nani umwache nani

Na Argentina umkabe nani umwache nani, refer Copa America na finallisima ndio utaelewa mzee, chochote unachotaka utakipata, vyenga, udambwi, defenses, ufundi, na uhuni, vyote hivi vinapatikana kwa wazee wa samba boys ARG

Kuna Rodrigo de paul, paredes, butcher, molina, romero, acuna, otamendi, montiel, foyth, HEBU utaanzia kwa nani hapo?
 
Argentina akivuka leo tunamkuta fainali na yoyote atakaeingia fainali hachomoi lazima Messi abebe hili kombe
 
Back
Top Bottom