OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Wakuu,
Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha,
Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi.
Kuna viashiria vya upangaji matokeo
Najaribu kuiweka clip inagoma wajuzi nisaidieni ili na wengine waone hicho kichekesho cha mwaka