OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Jezi namba 29 si ni IDD NADO mkuu?Hakuwa Iddi Nado
Huyo ni Nassor SaadunJezi namba 29 si ni IDD NADO mkuu?
Nimeweka picha hapo juu
KMC walizidiwa na uwezo wa Azam, Ni kama Azam alivyo fungwa na Yanga 4 au Simba alivyo fungwa 5 na akatandikwa Tena 3 ila refa Heri Sasi Goli mbili akazitia mfukoni.KMC ni timu ya vijana wazembe sana.Walifungwa kwa kuzubaa na uzembe wao.
Unaulizia makofi POLISI?Wakuu,
Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha,
Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi.
Kuna viashiria vya upangaji matokeo
View attachment 3100833
Najaribu kuiweka clip inagoma wajuzi nisaidieni ili na wengine waone hicho kichekesho cha mwaka
Changamoto yako:Umetumia sehemu kubwa kuelezea timu ambazo hazihusiki kwenye hoja.KMC walizidiwa na uwezo wa Azam, Ni kama Azam alivyo fungwa na Yanga 4 au Simba alivyo fungwa 5 na akatandikwa Tena 3 ila refa Heri Sasi Goli mbili akazitia mfukoni.
Tofauti iliyopo KMC hawakutoka hadharani na kulalamika kwamba wachezaji wao ni Maduka, maana unaweza kutana na Yanga na refa asi kusaidie akakuburuza Goli zaidi ya Tano na hoja Yako ya wachezaji duka ikakosa mashiko.
Alieshinda ni IDD NADOHuyo ni Nassor Saadun
Ni Saadun siyo NadoWakuu,
Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha,
Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi.
Kuna viashiria vya upangaji matokeo
View attachment 3100833
Najaribu kuiweka clip inagoma wajuzi nisaidieni ili na wengine waone hicho kichekesho cha mwaka
Wakuu,

Nyie washabiki wapya wa mpira tabu sanaWakuu,
Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha,
Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi.
Kuna viashiria vya upangaji matokeo
View attachment 3100833
Najaribu kuiweka clip inagoma wajuzi nisaidieni ili na wengine waone hicho kichekesho cha mwaka
Muda utaongeaMimi naona Azam inaweza kuwa imepata kocha baada ya kuhangaika kwa muda mrefu. Inawezekana Dabo alikuwa dalali wa wachezaji fulani fulani au alikuwa hajui kupanga kikosi
Iddy nado kafunga goli la kwanza mzee, hilo la chenga sio yeyeAlieshinda ni IDD NADO
Ndo ujue bila kujilinganisha na mnyama...nyuma mwiko bado sanaaaChangamoto yako:Umetumia sehemu kubwa kuelezea timu ambazo hazihusiki kwenye hoja.
Halafu kaandika kwa kujiachia kabisa kama zuzu.Anaulizwa hili anajibu kuleee.Bure kabisa.Ndo ujue bila kujilinganisha na mnyama...nyuma mwiko bado sanaaa
elimu elimu elimu......jibu swali lililoulizwa , ndo maana huko Yanga wenye akili ni wawili tuKMC walizidiwa na uwezo wa Azam, Ni kama Azam alivyo fungwa na Yanga 4 au Simba alivyo fungwa 5 na akatandikwa Tena 3 ila refa Heri Sasi Goli mbili akazitia mfukoni.
Tofauti iliyopo KMC hawakutoka hadharani na kulalamika kwamba wachezaji wao ni Maduka, maana unaweza kutana na Yanga na refa asi kusaidie akakuburuza Goli zaidi ya Tano na hoja Yako ya wachezaji duka ikakosa mashiko.
Unapenda sana michezo ya nyuma mwikoNdo ujue bila kujilinganisha na mnyama...nyuma mwiko bado sanaaa