Mechi ya jana Azam vs KMC goli la Iddy Nado kapiga chenga mabeki watano mpaka kipa kisha kufunga, kuna viashiria vya upangaji matokeo?

Una uhakika tukikupa namba utaweza kumkaba huyo mfungaji?
 
.........au Simba alivyo fungwa 5 na akatandikwa Tena 3 ila refa Heri Sasi Goli mbili akazitia mfukoni.
Unanikumbusha ile hadithi ya "KIPOFU NA PUNDA" . Mtu mzima, aliyekuwa amezaliwa akiwa kipofu (haoni), kuna siku moja akiwa matembezini akiwa na fimbo yake, akasikia vishindo, na watu wakipiga kelele, punda huyo punda huyo! Ghafla, macho yake yakaona, na kitu cha kwanza kukiona ni huyo punda aliyekuwa akifukuzwa. Baada ya hapo, macho yake yakaacha kuona tena.
Basi, toka siku hiyo, kila akiambiwa kitu, basi yeye atauliza, kiko kama punda? Kikubwa kama punda? Kinatisha kama punda?
Sasa, zile 5, imekuwa kama REJEA! Yaani, UTOPOLO, hatupumui !. Akina Inonga & co, walitukosea sana!
 


Huyu ni Nassor Saadun,
kafunga goli kali sana
Amesajiliwa msimu huu akitokea Geita Gold na msimu mmoja nyuma kabla hajaja Geita alikuwa Vyskov FC ya Jamhuri ya Czech

Ni moja ya wachezaji wenye talent kubwa sana, ameng'ara sana mechi za Serengeti boys miaka mitatu nyuma huko

Kama ataendelea na speed hii basi naamini tutaanza kumuona Starz na kuwaweka benchi konokono Balua
 
Kama ndio hivyo Messi alikuwa mpangaji matokeo mzuri
 
Makolo bwana!
Tayari hofu imewaingia.
Hata hivyo huyo alowapiga chenga si Nado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…