Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Hii mechi ya jana kwa ile penati yenye utata vile.
1. Ingekuwa imetolewa upande wa Yanga ungeshuhudia viti vyote uwanjani vinavyong'olewa. Hapo ndiyo utashuhudia mashabiki wa Yanga ni wastahimilivu, wastaarabu mno.
2. Ile penati ingetolewa upande wa Yanga ungeshuhudia leo Haji Manara anavyohaha kila media na CD mkononi kuonyesha kilichotokea. Hapo ndiyo utaelewa ustaarabu wa viongozi ulivyo kwa hizi timu.
3. Ukija mitaani, ingekuwa ile penati imetolewa upande wa Yanga, ilikuwa mashabiki wa Yanga wote nchi nzima wawe wamejificha. Hapo ndiyo utaelewa mashabiki wa mikia wengi ni watoto na wavuta bangi; wanabadirika kabisa wanakuwa vichaa. Ungeshudia pikipiki zinavyoendeshwa kwa fujo wangeshinda jana.
Sent using Jamii Forums mobile app