Mechi ya jana Yanga na Simba ndiyo kipimo cha ustaarabu wa mashabiki

Swet-R

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
5,613
Reaction score
8,082
Hii mechi ya jana kwa ile penati yenye utata vile.

1. Ingekuwa imetolewa upande wa Yanga ungeshuhudia viti vyote uwanjani vinavyong'olewa. Hapo ndiyo utashuhudia mashabiki wa Yanga ni wastahimilivu, wastaarabu mno.

2. Ile penati ingetolewa upande wa Yanga ungeshuhudia leo Haji Manara anavyohaha kila media na CD mkononi kuonyesha kilichotokea. Hapo ndiyo utaelewa ustaarabu wa viongozi ulivyo kwa hizi timu.

3. Ukija mitaani, ingekuwa ile penati imetolewa upande wa Yanga, ilikuwa mashabiki wa Yanga wote nchi nzima wawe wamejificha. Hapo ndiyo utaelewa mashabiki wa mikia wengi ni watoto na wavuta bangi; wanabadirika kabisa wanakuwa vichaa. Ungeshudia pikipiki zinavyoendeshwa kwa fujo wangeshinda jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unatukosea
Hapana anawapeni fundisho. Manara anasema wachezaji hawakuzitendea haki jezi walizovaa yaani alitaka wamwage damu au? Nadhani, kweli timu hizi zina mashabiki wa tofauti sana.

Mnaendaje uanjani mkiwa tayari na matokeo? Jiulizeni, kama sio hiyo penalty ya kupewa kijinga, leo mngelikuwa wapi ka matokeo ndo yangelikuwa 2 - 1? Poleni sana mikia. Mpira wa mezani siyo mpira.
 
Hapana anawapeni fundisho. Manara anasema wachezaji hawakuzitendea haki jezi walizo vaa yaani alitaka wamwage damu au? Nadhani, kweli timu hizi zina mashabiki wa tofauti sana.

Mnaendaje uanjani mkiwa tayari na matokeo? Jiulizeni, kama sio hiyo penalty ya kupewa kijinga, leo mngelikuwa wapi ka matokeo ndo yangelikuwa 2 - 1?? Poleni sana mikia. Mpira wa mezani sio mpira
Duh mpira hivi unahesabika hivyo? Kwamba penalty Inge koswa basi mabao yangekuwa 2-1?
Hii inaitwa "mjadala wa mpira kwa wacheza ngoma"
 
Swet-R,
Hiyo namba 1 sio kweli kwani hata simba wangekuwa wapole maana kwa walio uwanjani waliamini ni penati halali ndio maana uliona yanga wapo kimya ila wangegundua sio halali palepale uwanjani nakuhakikishia pasinge kalika
 
Thread Ya Ajabu Sana Hii, Wewe Mwenyewe Ni Yanga Ama Young?
 
Hiyo namba 1 sio kweli kwani hata simba wangekuwa wapole maana kwa walio uwanjani waliamini ni penati halali ndio maana uliona yanga wapo kimya ila wangegundua sio halali palepale uwanjani nakuhakikishia pasinge kalika
Kinachotendeka uwanjani pale kwa walio jukwaani ambao hawajaona vizuri,wanajulishwa muda huo tokea nje kilichojiri baada ya marudio ya Tv. Kwani umesahau ule mpira wa Tambwe ulijificha sana ule kuliko ile uwazi wa ile penati ya jana,lakini mlivunja viti uwanja mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachotendeka uwanjani pale kwa walio jukwaani ambao hawajaona vizuri,wanajulishwa muda huo tokea nje kilichojiri baada ya marudio ya Tv. Kwani umesahau ule mpira wa Tambwe ulijificha sana ule kuliko ile uwazi wa ile penati ya jana,lakini mlivunja viti uwanja mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuvunja kiti mimi
 
Hii mechi ya jana kwa ile penati yenye utata vile.

1. Ingekuwa imetolewa upande wa Yanga ungeshuhudia viti vyote uwanjani vinavyong'olewa. Hapo ndiyo utashuhudia mashabiki wa Yanga ni wastahimilivu, wastaarabu mno.

2. Ile penati ingetolewa upande wa Yanga ungeshuhudia leo Haji Manara anavyohaha kila media na CD mkononi kuonyesha kilichotokea. Hapo ndiyo utaelewa ustaarabu wa viongozi ulivyo kwa hizi timu.

3. Ukija mitaani, ingekuwa ile penati imetolewa upande wa Yanga, ilikuwa mashabiki wa Yanga wote nchi nzima wawe wamejificha. Hapo ndiyo utaelewa mashabiki wa mikia wengi ni watoto na wavuta bangi; wanabadirika kabisa wanakuwa vichaa. Ungeshudia pikipiki zinavyoendeshwa kwa fujo wangeshinda jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee...........
 
Back
Top Bottom