Mechi ya kesho Simba vs Singida inaenda kufunga midomo ya wanasimba wanaolalamika kuhujumiwa

Mashabiki watimu husika hio nikawaida kulalamika ila najuwa wewe unalalamika kwaajiri yaa
Kwani Singida haina mashabiki? au hawana haki ya kulalamika hata wakidhulumiwa? au wewe mechi ya juzi ulikuwa na haki gani ya kumlaumu refa ambayo Singida hawana.
 
Kwa hiyo nyie ndio mnastahili penati msimu huu.
Mimi nanukuu kauli zenu, kuwa penati katika mchezo huwa ni mchongo wa kutafuta goli. Kwa hiyo kuanzia sasa mtu asipewe penati πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: Tui
Mimi nanukuu kauli zenu, kuwa penati katika mchezo huwa ni mchongo wa kutafuta goli. Kwa hiyo kuanzia sasa mtu asipewe penati πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani penati kama ya mchongo watu wasiseme au nyie ndio wenye haki ya kulamika,mpira mchezo wa wazi.
 
Bana katikati wameingiza pembeni.Tabu ipo pale pale.Dah kocha wa mchongo Kishumundu FC wanatafuta kocha huenda ukawafaa.
 
Kwani penati kama ya mchongo watu wasiseme au nyie ndio wenye haki ya kulamika,mpira mchezo wa wazi.
Ndio maana naunga mkono, penati hazitakiwi kuwepo kwenye soka maana ni za mchongo πŸ˜‚
 
Reactions: Tui
Ndio maana naunga mkono, penati hazitakiwi kuwepo kwenye soka maana ni za mchongo πŸ˜‚
Unafurahi sababu zimekunufaisha wewe,juzi mlimlalamikia refa sasa sijui mlikuwa mnamlalamikia nini.
 
Sasa kwa akili yako unaona Singida angeweza yote hayo uliyoandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…