Mechi ya kesho Simba vs Singida inaenda kufunga midomo ya wanasimba wanaolalamika kuhujumiwa

Mechi ya kesho Simba vs Singida inaenda kufunga midomo ya wanasimba wanaolalamika kuhujumiwa

Sasa kwa akili yako unaona Singida angeweza yote hayo uliyoandika?
Singida hawakunisikia, walicheza offside trick na Simba walipata goli japo Sasii aliwanyima penati tatu za wazi kabisa. Hii ligi haifai tena imeozaa
 
Singida hawakunisikia, walicheza offside trick na Simba walipata goli japo Sasii aliwanyima penati tatu za wazi kabisa. Hii ligi haifai tena imeozaa
Ungekua angalau board member wa azam media ama bakheresa group labda nimekuambia kashauriane na Tff ama na mzee bakheresa muifutilie mbali ligi. Lakini sijui hata kama wanajua una exist.
 
Ungekua angalau board member wa azam media ama bakheresa group labda nimekuambia kashauriane na Tff ama na mzee bakheresa muifutilie mbali ligi. Lakini sijui hata kama wanajua una exist.
Hakikisha unaulizia na kupata taarifa za muda wa marudio ya kipindi cha kipyenga cha mwisho cha last Thursday, nadhani ni jumatatu saa nne au Tano usiku Azam.
Just nikuwahishe kwenye news, ni kuwa Singida big stars walistahili kupewa penati mbili na wachezaji watatu wa Simba hawakustahili kuwepo uwanjani, si Mimi ninaesema bali ni kwa mujibu wa matukio ya mchezo na maelezo ya Othman Kazi, nenda kabishane nae kwenye kipindi
 
Update: Yametimia, ingida wamenyimwa Penati 2
  • Red Card za mchongo kwa Singida
  • Singida kunyimwa penati
  • Refa kuwapa simba penalty za kujidondosha
  • Magoli ya offside
  • dakika kuongezwa 15
  • Singida wakitaka kufunga ni offside
Makolo na TFF yao wanaharibu sana mpira
Mechi zao zote lazima kuna refa wa kike ambaye yupo kimkakati kila hatari ikikaribia langoni yeye ananyosha kipendera either faul au offside 🤔 🤣🤣🤣
 
Shida inapoanzia nchi hii ushabiki wa mpira umegawanyika pande mbili, upande mmoja ni Simba na Mwingine ni Yanga, tofauti na Ulaya huko mfano UK unakuta hadi Ipswich, Bournemouth Zina mashabiki wao wa kutosha na siku ikicheza na top team unakuta Ina mashabiki wake wa kuipa hamasa ila ukija hapa Bongo Simba ikienda Pwani kucheza na Ruvu utakuta almost uwanja mzima wanaishabikia Simba waliosalia utakuta ni wa Yanga ndo wanaipa support Ruvu, kwahiyo hata kubebwa unakuta Refa ana kadi kabisa ya Yanga au Simba
 
Back
Top Bottom