Tukuite Mbwa ukiwa umekaaa wapi?Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa ,ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki .
Uzuri marefa sio wabongo,
Wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Mbwa mtoni au mbwa jalalani?Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa ,ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki .
Uzuri marefa sio wabongo,
Wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Mbona wewe ni mbwa siku nyingi?Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa ,ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki .
Uzuri marefa sio wabongo,
Wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Hivi kwanini mmetimua kocha ilihali timu inaongoza ligi?Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa ,ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki .
Uzuri marefa sio wabongo,
Wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Naomba niwe mdau wa mwanzo kabisa kukuita mbwa, tena kwa idhini yako mwenyewe.Watamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa ,ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki .
Uzuri marefa sio wabongo,
Wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
Tumemtimua kwa kuwa tumepata kocha mzuri zaidiHivi kwanini mmetimua kocha ilihali timu inaongoza ligi?
Kwa mpira ule wazee wanakaba na macho labda refa awe r jiga ila kama refa wa Caf tusubirie tena lawama kwa kariaWatamalizwa na Zalan mechi zote mbili hapa hapa ,ndani ya mipaka ya Tanzania hawatoki .
Uzuri marefa sio wabongo,
Wakiwatoa Zalan mniite MBWA!
hao majamaa unaambiwa spidi waliyonayo digidigi wasomeKwa mpira ule wazee wanakaba na macho labda refa awe r jiga ila kama refa wa Caf tusubirie tena lawama kwa karia View attachment 2348183View attachment 2348184
Manula kasema mwaka huu haachi kituKipa wa uto atafungwa magoli 50 msimu huu.